Mchimba Chumvi
JF-Expert Member
- May 19, 2016
- 2,244
- 5,500
Kwahiyo kwa kalenjin moi ndio ana ushawishi kumzidi Ruto? Who is moi in kalenjin nation?R
Raila ana Support ya Uhuru (Kikuyu from Central) Ruto anatoka Rift valley- Kalenjin ambako Hana ushawishi maana mtoto wa Moi also Kalenjin soon atamsupport RAO mchezo uishe
Kipi kimefanya Raila & Uhuru kuwa marafiki au Uhuru ameamua kumtumia Raiala kama Kibaki alivyomtumia na kisha kumbwagaR
Raila ana Support ya Uhuru (Kikuyu from Central) Ruto anatoka Rift valley- Kalenjin ambako Hana ushawishi maana mtoto wa Moi also Kalenjin soon atamsupport RAO mchezo uishe
Huyu atauwawa kwa ajali ya helicopter kama bwana Saitoti
Ruto alibebwa na Uhuru 2013 kuzima ishu ya ICC lakini Hustler Kala zaidi ya urefubwa kamba yake mpaka analeta madharau kwa UKKipi kimefanya Raila & Uhuru kuwa marafiki au Uhuru ameamua kumtumia Raiala kama Kibaki alivyomtumia na kisha kumbwaga
Sasa Mudavadi na Weta wako na kura gani? [emoji23]We as UDA tumeshamnyanganya Raila marafiki zake[emoji12]
Mudavadi and Wetangula[emoji91][emoji91]
DP naye atakuwa Martha Karua from Mount Kenya[emoji12]
Mungu ni mkuu[emoji91][emoji91]
Only a fool will underestimate mudavadi and wetangula, for your information wetangula controls 90% of luhya bukusu vote from bungoma and trans nzioa Counties.Sasa Mudavadi na Weta wako na kura gani? [emoji23]
after Earthquake Ask why Uhuru pamoja na Azimio wake walitetemeka mbona??mpaka akaita waluhya State house na akasema kuwa Mudavadi amemwangusha kwa kushikana na Ruto!😂Sasa Mudavadi na Weta wako na kura gani? [emoji23]