Ruto rais ajaye Kenya?

Ruto rais ajaye Kenya?

R
Raila ana Support ya Uhuru (Kikuyu from Central) Ruto anatoka Rift valley- Kalenjin ambako Hana ushawishi maana mtoto wa Moi also Kalenjin soon atamsupport RAO mchezo uishe
Kwahiyo kwa kalenjin moi ndio ana ushawishi kumzidi Ruto? Who is moi in kalenjin nation?
Wee jamaa unadanganya wezio waziwazi asee!
Moi is nothing in kenyan politics ,Gideon moi yupo level za kina wetangula na kabogo.
Then uhuru hana huo ushawishi unaousema hapa kwa wakikiyu,hana sauti hiyo kule kwa mlima kenya
 
R
Raila ana Support ya Uhuru (Kikuyu from Central) Ruto anatoka Rift valley- Kalenjin ambako Hana ushawishi maana mtoto wa Moi also Kalenjin soon atamsupport RAO mchezo uishe
Kipi kimefanya Raila & Uhuru kuwa marafiki au Uhuru ameamua kumtumia Raiala kama Kibaki alivyomtumia na kisha kumbwaga
 
Ruto is very smart ,strategist and well organized .Mjanja kuliko yule Mla ngada.
Anapenda sana hujuma anazofanyiwa na uhuru&raila coz huwa zinamfaidisha sana political .Hilo ulilosema hapo juu ni hujuma ila hataruhusu itokee
Huyu atauwawa kwa ajali ya helicopter kama bwana Saitoti
 
Kipi kimefanya Raila & Uhuru kuwa marafiki au Uhuru ameamua kumtumia Raiala kama Kibaki alivyomtumia na kisha kumbwaga
Ruto alibebwa na Uhuru 2013 kuzima ishu ya ICC lakini Hustler Kala zaidi ya urefubwa kamba yake mpaka analeta madharau kwa UK
 
Nasubiri nione Muungano wa Azimio la umoja iwapo Ngilu, Kalonzo, wakienda Kambi ya Odinga then mchezo umeisha Ruto hatoshinda
 
Kama hamjui😂Ruto is the 5th!
Mlima Kenya na Riftv ni wa Ruto(locked) pamoja na region zengine mingi hustler ako juu,
Kama Azimio hawababaishwi na Ruto mbona basi dynasties na deep state wanaungana kumponda,Ruto ana nguvu kila kona ya nchi ni wimbo ya "Hustler"
Venye uhuru alianguka mara ya kwanza alipo pewa mkono na deepstate hivo ndivo raila ataanguka,
Mimi sio kabila ya Ruto lakini
Ruto lazima atakalia hio kiti,kama Kibaki tulivyo mshikilia akakalia hio kiti,
 
Time is ripe for Kenyan president neither Kyuk nor Kale- sisemi mimi wanasema wazalendo.
 
I hope they are no clashes..He has been waiting for that seat a pretty longtime..
 
We as UDA tumeshamnyanganya Raila marafiki zake😜
Mudavadi and Wetangula🔥🔥
DP naye atakuwa Martha Karua from Mount Kenya😜
Mungu ni mkuu🔥🔥
 
FB_IMG_16436054142997859.jpg
 
Mudavadi na Wetangula hawakuwa na any other choice to make iliwalazimisha washikane na Ruto ndio nguvu zao zirudi tena
Kabla hawajashikana na Ruto, Raila na Azimio lake la upuzi waliwabeba kifala sana
Mbona Raila alitumia Wamunyinyi kuanzisha chama cha ADP ambacho walitumia kunyonya nguvu za Mudavadi na Wetangula kama kupe!
Wamunyinyi alitoka Ford Kenya na kuanza ADP(Raila's Sponsored party) ambayo walikuwa wananunua party members za ANC na Ford and yet bado walikuwa marafiki!
Hio ni tabia ya kupe!😬
Sasa Mudavadi na Wetangula wamefanya the best revenge ambayo itamfaidi Ruto pamoja nao,
#Tusidanganyane
#Earthquake⚡
#Kazi ni Kazi⚡
#Uchumi bora⚡
2022 ndani kabisa bakisha tu kuapisha Ruto🔥🔥
 
Tumeibia mpaka Atwoli bibi yake😂😂
Atasimama na Hustler's party
UDA mpaka mwisho,usicheze na sisi!⚡
 
Back
Top Bottom