Mchimba Chumvi
JF-Expert Member
- May 19, 2016
- 2,244
- 5,500
Kwahiyo kwa kalenjin moi ndio ana ushawishi kumzidi Ruto? Who is moi in kalenjin nation?R
Raila ana Support ya Uhuru (Kikuyu from Central) Ruto anatoka Rift valley- Kalenjin ambako Hana ushawishi maana mtoto wa Moi also Kalenjin soon atamsupport RAO mchezo uishe
Wee jamaa unadanganya wezio waziwazi asee!
Moi is nothing in kenyan politics ,Gideon moi yupo level za kina wetangula na kabogo.
Then uhuru hana huo ushawishi unaousema hapa kwa wakikiyu,hana sauti hiyo kule kwa mlima kenya