sifi leo
JF-Expert Member
- Mar 30, 2012
- 5,182
- 8,948
Bandugu hamjambo?
Hivi mwakumbuka suala la kuita viongozi wa Dini Ikulu na kupiga nao stori, huku akiishia kuwawekea SADAKA zilizojaa DAMU za watu walio kuwa wanauliwa na kutupwa kwenye viroba na kutupwa jalalani kulikotokea enzi za mwendazake?
Sikuwai sikia kiongozi wa Dini yoyote aliyejitokeza kupigia kelele unyama huo mpaka wa leo.
Wengi wetu tulimwona Magufuli kama Mungu mtu, viongozi wa Dini ikifika hatua viongozi kama Mwamposa wakaamua kuchagua kabira kubwa la wachaga na kuwatoa kafara hakuna aliyeguswa.
Nauona alio ufanya Magufuli, Rais Ruto na Mkewe wanaurudia ebu tizama picha hii utaona kiongozi wa Dini anaingia mikono mitupu anatoka na bahasha kubwa iliyojaa pesa za walipa Kodi.
Hiyo ni sadaka au kitu gani? Kwa nini isipelekwe madhabauni itakaswe? Bahasha imekuwa kubwa mpaka mchugaji anaonekana kulemewa minoti anashindwa hata kuificha.
Ujumbe wangu Ruto na mkeo peleka sadaka mazabauni Ikulu sio pahala pa ulanguzi.