Kalunya
JF-Expert Member
- Oct 5, 2021
- 13,322
- 18,609
Watawala wa kiafrica wote wanafananaKenya sio Tanzania.
Tunza na elewa hili. Kuna unafiki fulani kule haupo.
Mengine naamini umeshaelewa!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Watawala wa kiafrica wote wanafananaKenya sio Tanzania.
Tunza na elewa hili. Kuna unafiki fulani kule haupo.
Mengine naamini umeshaelewa!
Kama yeye alivyopelekea vifo vya kina Ben saananeKufa sio dhambi
Ila dhambi ni kwa wale waliopelekea kifo chake utaushuhudia ukuu wa Mungu hapa hapa
Nipe sifa mbaya zote upendavyo lkn ukweli unabaki pale pale kwamba dhalimu limeondoshwa kutupisha wenye nchi tuendelee kufurahia nchi yetuKama sio mwizi. Utakua tapeli . au ulifukuzwa kwa vyeti feki.
Simtetei na sisemi alihusika ama la. Lakini una uthibitisho wowote wa Rais Magufuli kuhusika na vifo vyao?Kama yeye alivyopelekea vifo vya kina Ben saanane