christeve88
JF-Expert Member
- Aug 11, 2018
- 2,841
- 4,531
Huvi kifo ni kipino cha dhambi au adhabu anayopewa mtu baada ya kufanya dhambi? Au ndio njia pekee ya kwenda mbinguni kisha matendo yako ndio yataamua huende motoni au peponi.
Akili zinazoamini kuwa kifo cha mwili ni adhabu ni akili mufilisi maana hakuna njia ya kwenda mbinguni zaidi ya kifo na wao watakufa ni swala la wakati tu.
Akili zinazoamini kuwa kifo cha mwili ni adhabu ni akili mufilisi maana hakuna njia ya kwenda mbinguni zaidi ya kifo na wao watakufa ni swala la wakati tu.