christeve88
JF-Expert Member
- Aug 11, 2018
- 2,841
- 4,531
Naamini the samePale Kenya shetani amekasirika makasiriko makuu.
Mlizoea Ikulu waingie waganga na wachawi kuzindika Ili wampe sadaka ya DAMU,
Saiz watumishi wa Mungu aliye juu ndo wanamsaidia kutawala.
Natabiri neema na baraka ktk Nchi Ile.
Inakuja huku ktk Nchi yangu pia.
Ameeen
Kafa kizembe kujifanya kushindana na covid19.Kufa sio dhambi
Ila dhambi ni kwa wale waliopelekea kifo chake utaushuhudia ukuu wa Mungu hapa hapa
Kafa kizembe kujifanya kushindana na covid19.
Nani amuue yule chizi.
Mbona Watokwa na povu sehemu zako za wazi zote mwilini? Halafu KabiRA ndo maana yake nini kwa Kiswahili? Badala uombe ada uende shule unakaa kwa shemejiyo miguu kwenye meza unakuna mapum** na kunusa huku unaandika uharo kama huu.....🤣🤣🤣🤣🤣Bandugu hamjambo?
Hivi mwakumbuka ujinga wa kuita viongozi wa Dini Ikulu na kupiga nao stori za kijinga, uku akiishia kuwawekea SADAKA zilizojaa DAMU za watu walio kuwa wanauliwa na kutupwa kwenye viroba na kutupwa jalalani kulikotokea enzi za mwendazake?
Sikuwai sikia kiongozi wa Dini yoyote aliyejitokeza kupigia kelele unyama huo mpaka wa leo.
Wengi wetu tulimwona Magufuli kama Mungu mtu,viongozi wa Dini ikifika hatua viongozi kama mwamposa wakaamua kuchagua kabira kubwa la wachaga na kuwatoa kafara hakuna aliyeguswa.
Nauoma ujinga huo alio ufanya Magufuli na Akaishia kufa kifo Cha MENDE, Rais Ruto na Mkewe wanaurudia ebu tizama picha hii utaona kiongozi wa Dini anaingia mikono mitupu anatoka na bahasha kubwa iliyojaa pesa za walipa Kodi.
Hiyo ni sadaka au kitu gani? Kwa nn hisipelekwe mazabauni itakaswe?bahasha imekuwa kubwa mpaka mchugaji anaonekana kulemewa minoti anashindwa hata kuificha.
Ujumbe wangu Ruto na mkeo peleka sadaka mazabauni Ikulu sio pahala pa ulanguzi.
View attachment 2359610View attachment 2359611
Wewe utakua ni mpumbavu, unasema ujinga ilihali wewe ndo mjinga, hakuna mamlaka isiyo toka kwa MUNGU kwa makusudi yake, wewe unaita ujinga? Farasi wewe
Kiongozi yeyeto anaejificha udhaifu wake kwenye dini ni mtu mbaya sana
Wewe Kila unapokula umelaanika.Umelaanika Kila unapo jitawaza
Waganga wanaumia. Wanaona wanakosa mapato. Ndo sababu ya kuanzisha huu uzi majini hayajapewa pesa na damu so yameingia chuki na wivu.duh...hebu twende taratibu kwanza...tatizo ni watumishi wa Mungu kupewa sadaka ama kuna tatizo lingine....hivi kama nalipwa milioni 100(mshahara+marupurupu) na bado nilikuwa na biashara zangu zingine nikiamua mwezi huu mshahara wangu wote nawapa watumishi wa Mungu kuna ubaya gani au labda mimi ndio sielewi labda alipaswa kuwapa waganga,kweli tunatofautiana uelewa kiasi kikubwa sana
sifi leo, maneno yako haya utu wala utanzania. Hizo shutuma zako leo hii ukikamatwa hazina ushahidi na wewe huna ushahidi. Juzi kati hapa tumesikia kuna mtanzania alikutwa kafariki nyuma ya ofisi za PCCB je tuseme Raid Samia alimuua huyo mtu akamuweka nyuma ya ofisi za PCCB???Bandugu hamjambo?
Hivi mwakumbuka ujinga wa kuita viongozi wa Dini Ikulu na kupiga nao stori za kijinga, uku akiishia kuwawekea SADAKA zilizojaa DAMU za watu walio kuwa wanauliwa na kutupwa kwenye viroba na kutupwa jalalani kulikotokea enzi za mwendazake?
Sikuwai sikia kiongozi wa Dini yoyote aliyejitokeza kupigia kelele unyama huo mpaka wa leo.
Wengi wetu tulimwona Magufuli kama Mungu mtu,viongozi wa Dini ikifika hatua viongozi kama mwamposa wakaamua kuchagua kabira kubwa la wachaga na kuwatoa kafara hakuna aliyeguswa.
Nauoma ujinga huo alio ufanya Magufuli na Akaishia kufa kifo Cha MENDE, Rais Ruto na Mkewe wanaurudia ebu tizama picha hii utaona kiongozi wa Dini anaingia mikono mitupu anatoka na bahasha kubwa iliyojaa pesa za walipa Kodi.
Hiyo ni sadaka au kitu gani? Kwa nn hisipelekwe mazabauni itakaswe?bahasha imekuwa kubwa mpaka mchugaji anaonekana kulemewa minoti anashindwa hata kuificha.
Ujumbe wangu Ruto na mkeo peleka sadaka mazabauni Ikulu sio pahala pa ulanguzi.
View attachment 2359610View attachment 2359611
Mie nikienda kusali ni kumwamudu Mungu wangu na sio kuwafuata tena hawa tunaowaita viongozi wa dini!Hivi mwakumbuka ujinga wa kuita viongozi wa Dini Ikulu na kupiga nao stori za kijinga, uku akiishia kuwawekea SADAKA zilizojaa DAMU za watu walio kuwa wanauliwa na kutupwa kwenye viroba na kutupwa jalalani kulikotokea enzi za mwendazake?
Ndiyo kazi ya viongozi wa dini, kuwasujudu wakuu wa nchi na kuwalazimisha waumini nao wawasujudu wakuu wa nchi.Ukishawanunua viongozi wa dini umeshamaliza kazi. Watawaambia kondoo wao huyu ndie chaguo la Mungu
Hayakuhusu! Mind yoh business broRuto na mkewe wameamua kuigeuza Ikulu ya Kenya madhabahu ya mitume na manabii wao.
Aache ushambaUlitaka waende wachawi sasa?
Binadamu sisi hatuna jema
Alikuwa Yesu aliyeitwa mwana wa Mungu sembuse Magufuli! Sembuse Ruto?!Bandugu hamjambo?
Hivi mwakumbuka ujinga wa kuita viongozi wa Dini Ikulu na kupiga nao stori za kijinga, uku akiishia kuwawekea SADAKA zilizojaa DAMU za watu walio kuwa wanauliwa na kutupwa kwenye viroba na kutupwa jalalani kulikotokea enzi za mwendazake?
Sikuwai sikia kiongozi wa Dini yoyote aliyejitokeza kupigia kelele unyama huo mpaka wa leo.
Wengi wetu tulimwona Magufuli kama Mungu mtu,viongozi wa Dini ikifika hatua viongozi kama mwamposa wakaamua kuchagua kabira kubwa la wachaga na kuwatoa kafara hakuna aliyeguswa.
Nauoma ujinga huo alio ufanya Magufuli na Akaishia kufa kifo Cha MENDE, Rais Ruto na Mkewe wanaurudia ebu tizama picha hii utaona kiongozi wa Dini anaingia mikono mitupu anatoka na bahasha kubwa iliyojaa pesa za walipa Kodi.
Hiyo ni sadaka au kitu gani? Kwa nn hisipelekwe mazabauni itakaswe?bahasha imekuwa kubwa mpaka mchugaji anaonekana kulemewa minoti anashindwa hata kuificha.
Ujumbe wangu Ruto na mkeo peleka sadaka mazabauni Ikulu sio pahala pa ulanguzi.
View attachment 2359610View attachment 2359611
Husimzalau husiye mjuhaBandugu hamjambo?

Acha ujinga basi. Ruto na mkewe ni Wakristo. Ulitaka wakatambike mizimu? Kwa hiyo Mkristo akiwa rais aache Ukristo wake? Akiishi imani yake inakuwa tatizo?Kiongozi yeyeto anaejificha udhaifu wake kwenye dini ni mtu mbaya sana
Kwa hiyo wewe huna dini? Uki iishi imani yako huwa unajifichia huko? Huwa unatafuta nini?Huko kwenye dini anapojifichia anatafuta nini