Simtetei na sisemi alihusika ama la. Lakini una uthibitisho wowote wa Rais Magufuli kuhusika na vifo vyao?
Just thinking kwamba ndio umekamatwa umepelekwa kama shahidi pale mahakamani ukaambiwa utoe vithibitisho. Utachomoka kweli ndugu yangu?
Najaribu kuwaza kwa sababu wengi husema mengi ila huwa hawaweki vithibitisho, hata kwa maneno tu!