RUTO: Tanzania na Uchumi wao mdogo, wananunua shamba hapa Upper Hill Kenya kujenga ghorofa na sisi tumelala

RUTO: Tanzania na Uchumi wao mdogo, wananunua shamba hapa Upper Hill Kenya kujenga ghorofa na sisi tumelala

Mhaya

JF-Expert Member
Joined
Aug 20, 2023
Posts
2,818
Reaction score
7,940
Williams Ruto hawapelekea moto wakenya baada ya kuona hawajitumi katika kujenga Nchi, huku akitolea mfano wa Watanzania wameenda kununua ardhi maeneo ya Upper Hill jijini Nairobi sawa na maeneo ya Masaki Osterbay na kisha kujenga Ghorofa kali. Huku wakenya wengi wakiwa wamelala bila ya kujituma. Akistaajabishwa na uchumi mdogo wa Tanzania ila wenye uthubutu

Ameyasema hayo leo akiwa anazungumza na wakenya na wanasiasa wa chama cha UDA

 
Mbona kama ametusimanga kwa kutusifia.

Hebu ona, huyu hana akili lakin amepata shule nzuri.
 
Namna Ruto anavyoelezea masuala ya kiuchumi hebu imagine unamuweka kwenye round table na huyu mamake mwashambwa...tutaaibika!.
Kuna siku niliona walikua wamekaa pamoja Kagame, Ruto, Museven na Samia. Nikasema Ruto, kagame, museveni ni viongozi wabovu, lakini wana akili sana. Wetu ni kiongozi mbovu, alafu hata akili ha....
 
Haya yote chanzo ni mbogamboga, cheki hadi mzee wa hovyo anatuita uchumi wa vifaranga.
 
Back
Top Bottom