Kama uchaguzi utakuwa huru, Haki na uwazi naamini Ruto atashinda kwa kishindo.Kwenye siasa pia "Practice makes perfect," ukimchunguza Raila ameingia Kwenye kinyangangilo mara nyingi sana na ameiyumbisha Ngome ya Kikuyu sana.hivyo anabase kubwa sana ya voters. Pamoja na umri kuwa mkubwa bado ananguvu na akili nyingi sana.Ruto mbeleni ni Rais wa kenya mtarajiwa hilo halina ubishi, Yuko determined na focused. Ila safar hii ni Raila mda ni mwalimu mzuri.
Ufasaha wa lugha ya Kiswahili ndo kigezo cha kupigiwa Kura Kenya?Kwa mtizamo wangu Ruto anazidi hoja na hadi sasa anaonekana kushawishi kundi kubwa la vijana wa kenya.
Mambo makubwa mawili yanayo mbeba Ruto.
1. Ufasaha wa kuongea lugha ya Kiswahili.
Kwenye kampeni zake Ruto anaonekana kutumia lugha ya kiswahili zaidi kunadi sera zake na hivyo kueleweka na wakenya wengi tofauti na mpinzani wake.
2. Umri.
Wapi amepewa support? Hujui siasa za Kenya.kwa muda ulio baki Raila Odinga anapaswa ajisimamie yeye kama yeye bila kutaka support ya Uhuru......hili ndio linalo mpotezea umaarufu.
Unaweza kudhani Uhuru anamsaidia Odinga kumbe ndio anamdidimiza zaidi Odinga.
Odinga alitakiwa asimame yeye kama yeye bila backup ya Uhuru.
Ila kwa kenya kuna matumaini kidogo kwa sasa kwa upinzani kwa sababu ya katiba yao ya sasa, lakini zaidi sana mfumo wao wa mahakama upo vizuri sana. Si unakumbuka uwezo wa mahakama mwaka 2017Kusini mwa jangwa la Sahara kujenga hoja, sijui energetic, sijui mvuto, sijui kuungwa mkono na walio wengi sijui takataka gani nyingine unazoweza kuziweka hapo ili kumsifia mgombea altogher is nothing.
Siasa za bara hili hasa kusini mwa jangwa la Sahara zina maajibu yake kumbuka huku sio Ulaya
Hapo swala ni kuwa tume inamtaka nani?? Huyo my friend ujiandae atashinda owe usiku au mchana
Hizi blaa blaa nyingine acha ziendeleee maana kumbuka pia HAKUNA harusi bila ngoma, nderemo na chereko na vifijo. Mwisho wa siku mkono wenye nguvu ndio utatawala
85%ya wakenya wana zungumza na kuelewa Lugha ya Kiswahili kuliko kizungu, hivyo Ufasaha wa Ruto kuzungumza kiswahili unapelekea wakenya wengi zaidi kumuelewa.Ufasaha wa lugha ya Kiswahili ndo kigezo cha kupigiwa Kura Kenya?
Mmmh... aisee Rutto ana balaa... Odinga is past... Naamini Rutto anashinda mapema sana... Ila hofu kubwa ni machafuko.. Hii ngoma ni ngumu sanaKwenye siasa pia "Practice makes perfect," ukimchunguza Raila ameingia Kwenye kinyangangilo mara nyingi sana na ameiyumbisha Ngome ya Kikuyu sana.hivyo anabase kubwa sana ya voters. Pamoja na umri kuwa mkubwa bado ananguvu na akili nyingi sana.Ruto mbeleni ni Rais wa kenya mtarajiwa hilo halina ubishi, Yuko determined na focused. Ila safar hii ni Raila mda ni mwalimu mzuri.
Siasa ya Kenya ni complicated. Usiichukulie kiurahisi kama unavyoichukulia.Kwa mtizamo wangu Ruto anazidi hoja na hadi sasa anaonekana kushawishi kundi kubwa la vijana wa kenya.
Mambo makubwa mawili yanayo mbeba Ruto.
1. Ufasaha wa kuongea lugha ya Kiswahili.
Kwenye kampeni zake Ruto anaonekana kutumia lugha ya kiswahili zaidi kunadi sera zake na hivyo kueleweka na wakenya wengi tofauti na mpinzani wake.
2. Umri.
Siasa ni idadi ya kura utakayopata sio nani ana umahiri wa kuzungumza lugha fulani.85%ya wakenya wana zungumza na kuelewa Lugha ya Kiswahili kuliko kizungu, hivyo Ufasaha wa Ruto kuzungumza kiswahili unapelekea wakenya wengi zaidi kumuelewa.
Ruto ameonekana kuwa mwanasiasa machachari na mwenye ushawishi mkubwa kwa sasa, naamini ndiye Rais ajaye wa Taifa la Kenya.Siasa ni idadi ya kura utakayopata sio nani ana umahiri wa kuzungumza lugha fulani.
Soma Alama za Nyakati. Ruto ni juzi litaiba/kuuza Ardhi zaidiRuto ameonekana kuwa mwanasiasa machachari na mwenye ushawishi mkubwa kwa sasa, naamini ndiye Rais ajaye wa Taifa la Kenya.