Kenya 2022 Ruto vs Odinga Agosti 9/2022

Kenya 2022 Ruto vs Odinga Agosti 9/2022

Kenya 2022 General Election

zandrano

JF-Expert Member
Joined
Jan 24, 2017
Posts
7,893
Reaction score
8,816
Kwa mtizamo wangu Ruto anazidi hoja na hadi sasa anaonekana kushawishi kundi kubwa la vijana wa kenya.

Mambo makubwa mawili yanayo mbeba Ruto.

1. Ufasaha wa kuongea lugha ya Kiswahili.

Kwenye kampeni zake Ruto anaonekana kutumia lugha ya kiswahili zaidi kunadi sera zake na hivyo kueleweka na wakenya wengi tofauti na mpinzani wake.

2. Umri.
 
Kwenye siasa pia "Practice makes perfect," ukimchunguza Raila ameingia Kwenye kinyangangilo mara nyingi sana na ameiyumbisha Ngome ya Kikuyu sana.hivyo anabase kubwa sana ya voters. Pamoja na umri kuwa mkubwa bado ananguvu na akili nyingi sana.Ruto mbeleni ni Rais wa kenya mtarajiwa hilo halina ubishi, Yuko determined na focused. Ila safar hii ni Raila mda ni mwalimu mzuri.
 
Kama uchaguzi utakuwa huru, Haki na uwazi naamini Ruto atashinda kwa kishindo.

Ukiwashindanisha kwa hoja, Ruto ameonyesha uhodari wa hali ya juu ktk kujenga hoja lkn pia ana nguvu ya Ushawishi zaidi ya mpinzani wake.
 
kwa muda ulio baki Raila Odinga anapaswa ajisimamie yeye kama yeye bila kutaka support ya Uhuru......hili ndio linalo mpotezea umaarufu.

Unaweza kudhani Uhuru anamsaidia Odinga kumbe ndio anamdidimiza zaidi Odinga.
Odinga alitakiwa asimame yeye kama yeye bila backup ya Uhuru.
 
Kwenye uchaguzi huu huko kenya mimi ninaiona sana serikali ya umoja wa kitaifa, Odinga rais, Ruto pm ninahisi uchaguzi katika duru ya kwanza hakuna atakaye pata zaidi ya 50% hivyo ngoma itaingia duru ya pili ambapo sasa hapo lolote linaweza kutokea ila ninampa bwana kitendawili nafasi zaidi
 
Kusini mwa jangwa la Sahara kujenga hoja, sijui energetic, sijui mvuto, sijui kuungwa mkono na walio wengi sijui takataka gani nyingine unazoweza kuziweka hapo ili kumsifia mgombea altogher is nothing.

Siasa za bara hili hasa kusini mwa jangwa la Sahara zina maajibu yake kumbuka huku sio Ulaya

Hapo swala ni kuwa tume inamtaka nani?? Huyo my friend ujiandae atashinda owe usiku au mchana

Hizi blaa blaa nyingine acha ziendeleee maana kumbuka pia HAKUNA harusi bila ngoma, nderemo na chereko na vifijo. Mwisho wa siku mkono wenye nguvu ndio utatawala
 
Kwa mtizamo wangu Ruto anazidi hoja na hadi sasa anaonekana kushawishi kundi kubwa la vijana wa kenya.

Mambo makubwa mawili yanayo mbeba Ruto.

1. Ufasaha wa kuongea lugha ya Kiswahili.

Kwenye kampeni zake Ruto anaonekana kutumia lugha ya kiswahili zaidi kunadi sera zake na hivyo kueleweka na wakenya wengi tofauti na mpinzani wake.

2. Umri.
Ufasaha wa lugha ya Kiswahili ndo kigezo cha kupigiwa Kura Kenya?
 
kwa muda ulio baki Raila Odinga anapaswa ajisimamie yeye kama yeye bila kutaka support ya Uhuru......hili ndio linalo mpotezea umaarufu.

Unaweza kudhani Uhuru anamsaidia Odinga kumbe ndio anamdidimiza zaidi Odinga.
Odinga alitakiwa asimame yeye kama yeye bila backup ya Uhuru.
Wapi amepewa support? Hujui siasa za Kenya.
 
Kusini mwa jangwa la Sahara kujenga hoja, sijui energetic, sijui mvuto, sijui kuungwa mkono na walio wengi sijui takataka gani nyingine unazoweza kuziweka hapo ili kumsifia mgombea altogher is nothing.

Siasa za bara hili hasa kusini mwa jangwa la Sahara zina maajibu yake kumbuka huku sio Ulaya

Hapo swala ni kuwa tume inamtaka nani?? Huyo my friend ujiandae atashinda owe usiku au mchana

Hizi blaa blaa nyingine acha ziendeleee maana kumbuka pia HAKUNA harusi bila ngoma, nderemo na chereko na vifijo. Mwisho wa siku mkono wenye nguvu ndio utatawala
Ila kwa kenya kuna matumaini kidogo kwa sasa kwa upinzani kwa sababu ya katiba yao ya sasa, lakini zaidi sana mfumo wao wa mahakama upo vizuri sana. Si unakumbuka uwezo wa mahakama mwaka 2017
 
Ufasaha wa lugha ya Kiswahili ndo kigezo cha kupigiwa Kura Kenya?
85%ya wakenya wana zungumza na kuelewa Lugha ya Kiswahili kuliko kizungu, hivyo Ufasaha wa Ruto kuzungumza kiswahili unapelekea wakenya wengi zaidi kumuelewa.
 
Muungano wa KENYA KWANZA chini ya Ruto ni kigezo kingine cha ushindi wake hapo Agosti 9.
Kenya kwanza inaonyesha umoja wa wakenya wote.
 
Kwenye siasa pia "Practice makes perfect," ukimchunguza Raila ameingia Kwenye kinyangangilo mara nyingi sana na ameiyumbisha Ngome ya Kikuyu sana.hivyo anabase kubwa sana ya voters. Pamoja na umri kuwa mkubwa bado ananguvu na akili nyingi sana.Ruto mbeleni ni Rais wa kenya mtarajiwa hilo halina ubishi, Yuko determined na focused. Ila safar hii ni Raila mda ni mwalimu mzuri.
Mmmh... aisee Rutto ana balaa... Odinga is past... Naamini Rutto anashinda mapema sana... Ila hofu kubwa ni machafuko.. Hii ngoma ni ngumu sana
 
wakati wake ulikwisha.....huu ni muda mwengine kabisaa, upepo unaonekana kuvuma upande wa Rutoo. possibly he will be the next President of the Republic of Kenya.

Tuwaombee ndugu zetu majirani zetu uchaguzi wenye Amani na utulivu.
Vurugu haziwezi kuisaidia kenya....tuachane na mambo ya kizamani, tufanye siasa za kistaarabu.
 
Kwa mtizamo wangu Ruto anazidi hoja na hadi sasa anaonekana kushawishi kundi kubwa la vijana wa kenya.

Mambo makubwa mawili yanayo mbeba Ruto.

1. Ufasaha wa kuongea lugha ya Kiswahili.

Kwenye kampeni zake Ruto anaonekana kutumia lugha ya kiswahili zaidi kunadi sera zake na hivyo kueleweka na wakenya wengi tofauti na mpinzani wake.

2. Umri.
Siasa ya Kenya ni complicated. Usiichukulie kiurahisi kama unavyoichukulia.
 
Siasa ni idadi ya kura utakayopata sio nani ana umahiri wa kuzungumza lugha fulani.
Ruto ameonekana kuwa mwanasiasa machachari na mwenye ushawishi mkubwa kwa sasa, naamini ndiye Rais ajaye wa Taifa la Kenya.
 
Back
Top Bottom