Kwahiyo Uhuru alimteua mkora?! maana ukimtusi DP utakuwa umemtusi Kiongozi wake.Soma Alama za Nyakati. Ruto ni juzi litaiba/kuuza Ardhi zaidi
Ruto ameonekana kuwa mwanasiasa machachari na mwenye ushawishi mkubwa kwa sasa, naamini ndiye Rais ajaye wa Taifa la Kenya.
Kwahiyo Uhuru alimteua mkora?! maana ukimtusi DP utakuwa umemtusi Kiongozi wake.
Kama Uhuru alimteua Ruto kuwa DP wake maana yake alimwamini kuwa ana qualify kuwa next President/ his predecessor
Wakenya wenyewe wanasemaje, maana naona wa Tz ndio mnajadili hapa tu kwa mitazamo yenu kuliko wakenya wenyewe waliko nchini kwao na wanauona uhalisia.
wakati wake ulikwisha.....huu ni muda mwengine kabisaa, upepo unaonekana kuvuma upande wa Rutoo. possibly he will be the next President of the Republic of Kenya.
Tuwaombee ndugu zetu majirani zetu uchaguzi wenye Amani na utulivu.
Vurugu haziwezi kuisaidia kenya....tuachane na mambo ya kizamani, tufanye siasa za kistaarabu.
Mmmh... aisee Rutto ana balaa... Odinga is past... Naamini Rutto anashinda mapema sana... Ila hofu kubwa ni machafuko.. Hii ngoma ni ngumu sana
Muungano wa KENYA KWANZA chini ya Ruto ni kigezo kingine cha ushindi wake hapo Agosti 9.
Kenya kwanza inaonyesha umoja wa wakenya wote.
Ruto ameonekana kuwa mwanasiasa machachari na mwenye ushawishi mkubwa kwa sasa, naamini ndiye Rais ajaye wa Taifa la Kenya.
Kwa mtizamo wangu Ruto anazidi hoja na hadi sasa anaonekana kushawishi kundi kubwa la vijana wa kenya.
Mambo makubwa mawili yanayo mbeba Ruto.
1. Ufasaha wa kuongea lugha ya Kiswahili.
Kwenye kampeni zake Ruto anaonekana kutumia lugha ya kiswahili zaidi kunadi sera zake na hivyo kueleweka na wakenya wengi tofauti na mpinzani wake.
2. Umri.
Ruto anapambana na giant wawili wa siasa za Kenya Uhuru na Odinga na bado anawakimbiza kimya kimya.
Kama uchaguzi utakuwa huru, Haki na uwazi naamini Ruto atashinda kwa kishindo.
Ukiwashindanisha kwa hoja, Ruto ameonyesha uhodari wa hali ya juu ktk kujenga hoja lkn pia ana nguvu ya Ushawishi zaidi ya mpinzani wake.
kwa muda ulio baki Raila Odinga anapaswa ajisimamie yeye kama yeye bila kutaka support ya Uhuru......hili ndio linalo mpotezea umaarufu.
Unaweza kudhani Uhuru anamsaidia Odinga kumbe ndio anamdidimiza zaidi Odinga.
Odinga alitakiwa asimame yeye kama yeye bila backup ya Uhuru.
Ruto atapindua meza Agosti 9 utashangaa.Mwanasiasa mwenye ushawishi Kenya ni Odinga, siku Odinga akistaafu siasa za Kenya zitapoa Sana. Akina Ruto wanapata airtime kwasababu Odinga yupo.
Ruto hatakuja kuwa Rais wa Kenya,labda Kenyatta na Odinga wafe.Kwenye siasa pia "Practice makes perfect," ukimchunguza Raila ameingia Kwenye kinyangangilo mara nyingi sana na ameiyumbisha Ngome ya Kikuyu sana.hivyo anabase kubwa sana ya voters. Pamoja na umri kuwa mkubwa bado ananguvu na akili nyingi sana.Ruto mbeleni ni Rais wa kenya mtarajiwa hilo halina ubishi, Yuko determined na focused. Ila safar hii ni Raila mda ni mwalimu mzuri.
Hapa Duniani uchaguzi ganj uliwahi kuwa guru na haki?Kama uchaguzi utakuwa huru, Haki na uwazi naamini Ruto atashinda kwa kishindo.
Ukiwashindanisha kwa hoja, Ruto ameonyesha uhodari wa hali ya juu ktk kujenga hoja lkn pia ana nguvu ya Ushawishi zaidi ya mpinzani wake.
Hamna kijana anayeamua MTU yoyote kuwa kiongozi,Kiongozi wa Nchi anachaguliwa na kiundi cha watu wasiozidi 5.Wengine wote tunahidhinisha walichokichagua hao jamaa.Ruto atapindua meza Agosti 9 utashangaa.
Siasa za nchi za Afrika kwa sasa zinaamuliwa na vijana ambao takwimu zinaonyeaha ndio wapiga kura.......
Vinaja wengi wanataka mabadiliko na wanaonekana kujenga matumaini yao kwa Ruto zaidi kuliko Odinga,
hapa siongelei siasa bali nazungumzia uhalisia uliopo hivi sasa kwenye kinyqng'anyiro.