Kenya 2022 Ruto vs Odinga Agosti 9/2022

Kenya 2022 General Election
Odinga the 5th!
 
Ruto anafeli sana kumtukana rais Uhuru

Nilidhani jamaa ana akili sana kama wanavyosema ila nimeona ana miscalculate hilo swala

Kingine kilichonifanya nikaona Ruto hana akili kama watu wanavyosema ni jinsi alipo mchagua deputy wake Rigathi Gachagua,jamaa ni jambazi 100% na hana akili vilevile,pia hakubaliki kwa popularity

Hayo mawili ndio nimeona biggest miscalculations za Ruto na zitam cost uchaguzi!

Ni no way Wakenya wamchague Gachagua wamuache Martha Karua,that will never happen...Gachagua ni hovyo mno!
 
Hilo la kumtukana sina hakika, ila vijembe vya kisiasa huwa haviepukiki haswa kwenye joto linapo panda.

Ruto namuona ni mtu humbled sana, anamheshimu sana Uhuru na ndio maana alimuomba radhi.

This time wakenya wanachagua Sera nzuri za kuwakomboa wakenya na kuwawezesha vijana kiuchumi, Ruto ndiye mgombea pekee hadi sasa amenadi sera nzuri zaidi kuliko Odinga.
 
alivyomtukana juzi hujaona mzee?

ruto anafeli anapogeuza uchaguzi ni wa yeye na uhuru badala ya yeye na raila..

big failure in his part!
 
kwa nini Odinga alihepa debate last week?!
jambo hili limemdamage sana Baba Odinga.
 
Kama uchaguzi utakuwa huru, Haki na uwazi naamini Ruto atashinda kwa kishindo.


Ukiwashindanisha kwa hoja, Ruto ameonyesha uhodari wa hali ya juu ktk kujenga hoja lkn pia ana nguvu ya Ushawishi zaidi ya mpinzani wake.
Wewe huelewi siasa za Kenya. Hakuna mtu ako na ushawishi mkubwa kisiasa hapa Kenya kumzidi Raila. Hata Rais Uhuru mwenyewe hawezifikia ushawishi wa Raila. Uliza mkenya yeyote atakuambia vivyo hivyo
 
Ruto ni mbishi na mkorofi akiibiwa kura lazima afachue hali ya hewa. Kumbuka ashafikishwa The Hague. Ruto anaeleweka zaidi, establishment itampendelea Odinga.

Odinga akichaguliwa anaweza asimalize first term. Anatafuta CV afe ni Rais basi, hana mageuzi atafanya wala nini. Anataka kupumzikia wananchi
Mmmh... aisee Rutto ana balaa... Odinga is past... Naamini Rutto anashinda mapema sana... Ila hofu kubwa ni machafuko.. Hii ngoma ni ngumu sana
 
Gc
Gachagua is hopeless. Niliona anahojiwa yule mtu ni hamna kitu, hadi alikuwa na nondo anaangalizia. Maswali mengine anajibu majibu ya kushangaza, all in all Ruto anapenda fujo ataleta vurugu. Sio smart ila bado Odinga sioni kama ni revolutionarist, Kenya haitapata mabadiliko makubwa kivile.

Ila tuachane na Kenya, Nigeria wana siasa za kipuuzi kupindukia. Wana uchaguzi mwakani ila wana ujinga wa hali ya juu sana
 
Wewe huelewi siasa za Kenya. Hakuna mtu ako na ushawishi mkubwa kisiasa hapa Kenya kumzidi Raila. Hata Rais Uhuru mwenyewe hawezifikia ushawishi wa Raila. Uliza mkenya yeyote atakuambia vivyo hivyo
hakuna shida, Agosti 9 ni next week, utajua kama sizijui siasa za kenya ama la.
tutakutana hapa.
 
Kama kuna nchi ina siasa za hovyo ni Tanzania sasa. Actually hiyo yenu sio siasa, ni sarakasi. An election where the president-elect wins by 84% and controls up-to 90% of National Assembly! Vioja tupu!
 
Kwahiyo Wakenya wameamua wamuite Odinga eti mzee Kitendawili😂. Na team yake ilivyotunga kesi ya wizi ya Gachagua ambayo haina mantiki imeharibu, na juzi nikaona bango limechorwa katuni yake linamtaka arudishe hizo KES 200 million. Hizo ndio siasa za majitaka. Ila Gachagua anakubalika
 
Eti timu ya Raila imetunga kesi ya Gachagua?😂😂😂. Wacha tu nicheke. Nyinyi watanzania hamuelewi maswala ya Kenya, haswa siasa zake. Stick to Tanzanian news. Gachagua case has been impending in court na ni hiyo hiyo korti ilimpata na hatia. Odinga anaingiliaje hapo sasa? Our judiciary is independent, sio kama huko kwenu ndio maana ilibatilisha hadi ushindi wa Uhuru in 2017 akiwa kwenye kiti! It's an independent institution.

Kuhusu hiyo billboard, that's politics. That's how it's played. Your opponent will use every opportunity that presents itself to campaign against you and this happens world over. Siasa zetu zimekomaa, ndio maana unaona hata Uhuru mwenyewe anatusiwa kila siku ila hajali. Sidhani kama hapa Tanzania Rais wenu anawezatusiwa bila mtu kushikwa/kudhulumiwa
 
Huu ni upumbavu au kitu gani. Kumtusi Rais ni kipimo cha kukomaa kisiasa? Tangu lini matusi yakawa ukomavu kwenye tribalist shithole?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…