Eti timu ya Raila imetunga kesi ya Gachagua?😂😂😂. Wacha tu nicheke. Nyinyi watanzania hamuelewi maswala ya Kenya, haswa siasa zake. Stick to Tanzanian news. Gachagua case has been impending in court na ni hiyo hiyo korti ilimpata na hatia. Odinga anaingiliaje hapo sasa? Our judiciary is independent, sio kama huko kwenu ndio maana ilibatilisha hadi ushindi wa Uhuru in 2017 akiwa kwenye kiti! It's an independent institution.
Kuhusu hiyo billboard, that's politics. That's how it's played. Your opponent will use every opportunity that presents itself to campaign against you and this happens world over. Siasa zetu zimekomaa, ndio maana unaona hata Uhuru mwenyewe anatusiwa kila siku ila hajali. Sidhani kama hapa Tanzania Rais wenu anawezatusiwa bila mtu kushikwa/kudhulumiwa