johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 97,869
- 171,716
Kama unafuatilia kwa karibu kampeni za uchaguzi mkuu wa Kenya utagundua kuwa Naibu Rais Dr William Rutto anatumia mbinu zilizompa Rais Magufuli ushindi wa 84%
Rutto anasimama kila anapokutana na kundi la Vijana au akina mama na kufanya mikutano ya papo hapo akiwa juu ya gari.
Raila Odinga anatumia mbinu zilizomfelisha mzee Lowassa 2015.
Sabato njema!
Rutto anasimama kila anapokutana na kundi la Vijana au akina mama na kufanya mikutano ya papo hapo akiwa juu ya gari.
Raila Odinga anatumia mbinu zilizomfelisha mzee Lowassa 2015.
Sabato njema!