Kenya 2022 Rutto wa Kenya anatumia mbinu za Hayati Magufuli katika kampeni za Urais, atashinda hakika

Kenya 2022 General Election
Magufuli alishindishwa na tume
Upepo wake ulikuwa ni mkubwa mno hasa huu uchaguzi wa 2020, hilo hata nyinyi mnajua. Kura ambazo hata mimi nakubali zilikuwa ni za magomashi ni zile za ubunge ila kwenye Urais hahahah hapana aiseeh.

Yule jamaa pamoja na madudu yake, alikuwa na sayansi kubwa mno ya kujiosha mbele za raia na akiwateka haswa.
 
  • Thanks
Reactions: nao

Kwanini hakutaka tume huru ya uchaguzi? yaani mimi kituo nilichopigia kura tulikuwa washikaji 6 na wote tulikuwa hatumpendi lakini matokeo yake ilikuwa ni zero.
 
Yeye lengo lake ilikuwa ni kutoa wabunge wa upinzani bungeni,kitu ambacho kiuhalisia ilikuwa ni ngumu sana ispokuwa kwa wizi tu. Wabunge wengi wa CCM ni wa kuwekwa tu.

Ila linapokuja swala la kusema Lissu alimshinda Magu haikubaliki labda kile kipindi cha LOWASSA.
 
Una amini kura za u-Rais hazikuibiwa hata kama alimshinda Lissu?
 
Ingekuwa Tanzania sawa, lakini kwa Kenya never!
Hao wakenya ndio hovyo kabisa katika siasa na uchaguzi, wewe umeona wapi kiongozi wa siasa ni makamo mwenyekiti wa chama lakini ameanzisha chama kingine na ndiye mgombea wa hicho chama kipya, huku bado ni makamo mwenyekiti wa chama kingine?, Kenya hakuna siasa ila ni kila mtu kujitafutia maisha
 
Una amini kura za u-Rais hazikuibiwa hata kama alimshinda Lissu?
Weka ushahidi wa wizi. Halima Mdee ndiye aliyepita na begi akidai ameibiwa kura na kukataa matokeo akidai uchaguzi haukuwa halali hayatambui matokeo, Leo hii yupo wapi?, Wacha kufuata mkumbo.
 
Nadhani nabishana na kichaa, nimekwambia sisi kituo chetu watu 6 kura zetu hazikuonekana na mawakala wa upinzania walizuiwa wewe una sema nini?
 
Kama Katiba inaruhusu Nashauri Baada ya RAO, Uhuru arudie
 
Back
Top Bottom