johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 97,869
- 171,716
Kwani maguli aliwahi kushinda kura zozote!! Tofautisha wizi na ushima kima weweKama unafuatilia kwa karibu kampeni za uchaguzi mkuu wa Kenya utagundua kuwa Naibu Rais Dr William Rutto anatumia mbinu zilizompa Rais Magufuli ushindi wa 84%
Rutto anasimama kila anapokutana na kundi la Vijana au akina mama na kufanya mikutano ya papo hapo akiwa juu ya gari.
Raila Odinga anatumia mbinu zilizomfelisha mzee Lowassa 2015.
Sabato njema!
Ndoto za matobolwa...Kama unafuatilia kwa karibu kampeni za uchaguzi mkuu wa Kenya utagundua kuwa Naibu Rais Dr William Rutto anatumia mbinu zilizompa Rais Magufuli ushindi wa 84%
Rutto anasimama kila anapokutana na kundi la Vijana au akina mama na kufanya mikutano ya papo hapo akiwa juu ya gari.
Raila Odinga anatumia mbinu zilizomfelisha mzee Lowassa 2015.
Sabato njema!
Hata Ukraine wanamtaja taja sana!Magufuli ni alama ya uongozi bora Afrika.
Magufuli angeshinda hata kula zisingeibwa.....Magufuli alishindishwa na tume
Lini hiyo?Hata Ukraine wanamtaja taja sana!
nikuulize swali wwe!Uhuru Kenyata ndo atakaeamua nani awe Rais. Kwa sasa Rais ajae ni Raila Odinga.
Ushawishi.Mbinu za ubabe...
Hta moi alitaka uhuru awe rais, 2002 lkn haikua.Uhuru Kenyata ndo atakaeamua nani awe Rais. Kwa sasa Rais ajae ni Raila Odinga.
Sema moi aliruhusu demokrasia. Ila Kenyata as far as ndo aliyeko madarakani akitaka Raila ashinde atashinda tu hata kwa kuiba kura.Hta moi alitaka uhuru awe rais, 2002 lkn haikua.
Sema uhuru kenyata anatka aendelee kuwa Rais Kwa backdoor