Kachengcheng
JF-Expert Member
- Dec 21, 2020
- 1,551
- 979
sio Kenya hii👹Sema moi aliruhusu demokrasia. Ila Kenyata as far as ndo aliyeko madarakani akitaka Raila ashinde atashinda tu hata kwa kuiba kura.
aser😁😁 et skull dadecqRuto hawezi kua Rais wa Kenya. Get that sink in your Skull.
#TukoTayari
#AzimioLaUmoja
#BabaThe5th
#OdingaForPresidency
Tuto ndie rais ajae wa kenya.Ruto hawezi kua Rais wa Kenya. Get that sink in your Skull.
#TukoTayari
#AzimioLaUmoja
#BabaThe5th
#OdingaForPresidency
☝Ruto💯Tuto ndie rais ajae wa kenya.
Ruto hawezi kua Rais wa Kenya. Get that sink in your Skull.
#TukoTayari
#AzimioLaUmoja
#BabaThe5th
#OdingaForPresidency
Unaumwa wewe. Kwamba lisu alimshinda? Lowasa?Magufuli alishindishwa na tume
Juu akishindwa kimeibiwa! Sababu kwa ground Hustler wote ni wake!
Bashite mkubwa weweUnaumwa wewe. Kwamba lisu alimshinda? Lowasa?
Nyinyi since multipartism ianze hamjawahi kushindwa si ndio. Ni mnazulumiwa all the time.
Kadanganye watoto
Ingekuwa Tanzania sawa, lakini kwa Kenya never!Uhuru Kenyata ndo atakaeamua nani awe Rais. Kwa sasa Rais ajae ni Raila Odinga.
Upepo wake ulikuwa ni mkubwa mno hasa huu uchaguzi wa 2020, hilo hata nyinyi mnajua. Kura ambazo hata mimi nakubali zilikuwa ni za magomashi ni zile za ubunge ila kwenye Urais hahahah hapana aiseeh.Magufuli alishindishwa na tume
Kwanini hakutaka tume huru ya uchaguzi? yaani mimi kituo nilichopigia kura tulikuwa washikaji 6 na wote tulikuwa hatumpendi lakini matokeo yake ilikuwa ni zero.Upepo wake ulikuwa ni mkubwa mno hasa huu uchaguzi wa 2020, hilo hata nyinyi mnajua. Kura ambazo hata mimi nakubali zilikuwa ni za magomashi ni zile za ubunge ila kwenye Urais hahahah hapana aiseeh.
Yule jamaa pamoja na madudu yake, alikuwa na sayansi kubwa mno ya kujiosha mbele za raia na akiwateka haswa.
Yeye lengo lake ilikuwa ni kutoa wabunge wa upinzani bungeni,kitu ambacho kiuhalisia ilikuwa ni ngumu sana ispokuwa kwa wizi tu. Wabunge wengi wa CCM ni wa kuwekwa tu.Kwanini hakutaka tume huru ya uchaguzi? yaani mimi kituo nilichopigia kura tulikuwa washikaji 6 na wote tulikuwa hatumpendi lakini matokeo yake ilikuwa ni zero.
Una amini kura za u-Rais hazikuibiwa hata kama alimshinda Lissu?Yeye lengo lake ilikuwa ni kutoa wabunge wa upinzani bungeni,kitu ambacho kiuhalisia ilikuwa ni ngumu sana ispokuwa kwa wizi tu. Wabunge wengi wa CCM ni wa kuwekwa tu.
Ila linapokuja swala la kusema Lissu alimshinda Magu haikubaliki labda kile kipindi cha LOWASSA.
Hao wakenya ndio hovyo kabisa katika siasa na uchaguzi, wewe umeona wapi kiongozi wa siasa ni makamo mwenyekiti wa chama lakini ameanzisha chama kingine na ndiye mgombea wa hicho chama kipya, huku bado ni makamo mwenyekiti wa chama kingine?, Kenya hakuna siasa ila ni kila mtu kujitafutia maishaIngekuwa Tanzania sawa, lakini kwa Kenya never!
Weka ushahidi wa wizi. Halima Mdee ndiye aliyepita na begi akidai ameibiwa kura na kukataa matokeo akidai uchaguzi haukuwa halali hayatambui matokeo, Leo hii yupo wapi?, Wacha kufuata mkumbo.Una amini kura za u-Rais hazikuibiwa hata kama alimshinda Lissu?
Nadhani nabishana na kichaa, nimekwambia sisi kituo chetu watu 6 kura zetu hazikuonekana na mawakala wa upinzania walizuiwa wewe una sema nini?Weka ushahidi wa wizi. Halima Mdee ndiye aliyepita na begi akidai ameibiwa kura na kukataa matokeo akidai uchaguzi haukuwa halali hayatambui matokeo, Leo hii yupo wapi?, Wacha kufuata mkumbo.
Hata ziliibwa ni za kujazia sio za kumuokoa JPM asishindwe uchaguzi, ingawa wizi ni wizi tu.Una amini kura za u-Rais hazikuibiwa hata kama alimshinda Lissu?
Watu wanaichukia sn CCM haswa wabunge wakeHata ziliibwa ni za kujazia sio za kumuokoa JPM asishindwe uchaguzi, ingawa wizi ni wizi tu.