Ruvu: Kuna foleni Kubwa Barabara ya Morogoro

Kuna foleni kubwa sana, magari hayaendi haijulikani ni ajali naona wanajeshi wamekuja kuingilia kati kuongoza magari

Kuna muhimu sana kwa Serekali kupanua sasa hii Barabara
Kuna umuhimu traffic police waachiwe kitengo cha kupokea rushwa na kusimamia usalama barabarani iwe section ndani ya JWTZ
 
barabara ina mgongo katikati kama ngamia.
mtakufa muishe na iyo road wazee, unaingia mji mkubwa wa kibiashara kwa barabara ya ulimi wa nyoka.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…