Ruvu Shooting 1-3 Simba SC | Ligi Kuu | CCM Kirumba

Ruvu Shooting 1-3 Simba SC | Ligi Kuu | CCM Kirumba

Erasto nyoni ni wa kuacha tu pale katikati hajasaidia kitu bora yule kijana abdswamandi wa kagera angecheza na mkude
Mzee Kibu Denis
1. Kafanya assist Kagere Kafunga
2. Kafunga
3. Kasababisha penati.
4. Kapiga shoot karibia 3 goalkeeper kaokoa
Yani wewe unaakili kuliko coach aliyefundisha Real Madrid kumuweka Kibu Denis 90min.
Wewe ni ndezi.
 
Mkuu msamehe tu huyo mkuu hajui mpira humu wengi ni bendera fata upepo kazi yote ya kibu ile wala hawezi kuiona.
 
Na hapo nasikia kocha bado analalamika wachezaji hawajafikia hâta 20% ya anachotaka. Hii simba sc hii😅
 
Umeangalia mpira? Umeona simba imechaza vizuri??
Mahaba ni upofo. Kwenye mpira kuna matokeo halafu kucheza mpira mzuri. Timu inaweza ikapata ushindi lakini kwenye upande wa uchezaji ukawa ni wa kawaida tu. Au timu inaweza kufungwa lakini mpira wameupiga mwingi. Au vyovyote kwa pamoja yaani matokeo na kuupiga mwingi. Leo Simba wamepata matokeo ila kwenye kucheza soka safi bado
 
Mkuu msamehe tu huyo mkuu hajui mpira humu wengi ni bendera fata upepo kazi yote ya kibu ile wala hawezi kuiona.
Kuna wachezaji ni wasumbufu kwa mabeki kibu ni mojawapo,mwanzo mwisho beki anayekutana naye lazima apate presha ,halafu kibu tatizo lake ni ndogo sana ,mi namkubali kuliko Bocco . Hii mechi kidogo imempunguzia presha inayokuja utaona atakavyokuwa anabadilika
 
Mahaba ni upofo. Kwenye mpira kuna matokeo halafu kucheza mpira mzuri. Timu inaweza ikapata ushindi lakini kwenye upande wa uchezaji ukawa ni wa kawaida tu. Au timu inaweza kufungwa lakini mpira wameupiga mwingi. Au vyovyote kwa pamoja yaani matokeo na kuupiga mwingi. Leo Simba wamepata matokeo ila kwenye kucheza soka safi bado
Siku zote team kubwa hupata alama 3 bila kujali imechezaje.
 
W_400x400.jpg
 
Back
Top Bottom