Ruvu Shooting 1-3 Simba SC | Ligi Kuu | CCM Kirumba

Sawa kumbuka na nyie mnapambana mkae mbele, hivyo siku ambayo mtakuwa mbele na Yanga nao watakuwa matakoni kwenu kama ilivyosasa kwa Simba. Jitahidi kupambana kukaliwa nyuma na nyie
Sisi tukikaa mbele huwa hatujaribu kuchuma tembele kama nyie.Unakumbuka msimu uliopita mlipojaribu kuchuma tembele ilikuwaje?
 
Mwaka jana walituacha point zaidi ya 10 ,leo wakishinda wanatuacha kwa 4 tu ,kazi wanayo
 
Wakati mwaka jana mnaachwa kwa hizo pointi 10, na idadi ya michezo mliocheza ilikuwa sawa au mechi zenu zilikuwa nyingi zaidi mpaka uweke comparative hiyo?
 
Haijalishi ,hata kama hatupo nyuma tutawakuta tu hiyo furaha yenu ya mda
 
Sawa kumbuka na nyie mnapambana mkae mbele, hivyo siku ambayo mtakuwa mbele na Yanga nao watakuwa matakoni kwenu kama ilivyosasa kwa Simba. Jitahidi kupambana kukaliwa nyuma na nyie
Uhali gani mpaka muda huu

29CD98BC-5216-4CA0-87F4-53EA93723082.jpeg
 
Sisi tukikaa mbele huwa hatujaribu kuchuma tembele kama nyie.Unakumbuka msimu uliopita mlipojaribu kuchuma tembele ilikuwaje?
Hata msimu uliopita mbona kuna wakati Simba aliongoza ligi kisha Yanga akaja kuongoza ligi. Ni swala la utamalizaje tu na sio unaanzaje.
 
Kumbe unajua kabisa kuwa jinsi unavyomaliza misimu ndio kipimo cha ubora? Basi acheni kujipa ubingwa mapema.
 
Back
Top Bottom