Venus Star
JF-Expert Member
- Dec 6, 2018
- 26,519
- 78,311
Mzee Kibu DenisErasto nyoni ni wa kuacha tu pale katikati hajasaidia kitu bora yule kijana abdswamandi wa kagera angecheza na mkude
Mkuu msamehe tu huyo mkuu hajui mpira humu wengi ni bendera fata upepo kazi yote ya kibu ile wala hawezi kuiona.Mzee Kibu Denis
1. Kafanya assist Kagere Kafunga
2. Kafunga
3. Kasababisha penati.
4. Kapiga shoot karibia 3 goalkeeper kaokoa
Yani wewe unaakili kuliko coach aliyefundisha Real Madrid kumuweka Kibu Denis 90min.
Wewe ni ndezi.
Muda utatoa majibu. Ligi bado mbichi kabisa bado mechi 25 kwa Yanga na 24 kwa Simba. Tusiandikie mate wakati wino upoNaona uto wameanza kuelewa simba anaelekea wapi.
Mugalu yuko kwao kapigwa misumari mingi sanaMechi ijayo wacheze na Mugalu tuone
Umeangalia mpira? Umeona simba imecheza vizuri??Na hapo nasikia kocha bado analalamika wachezaji hawajafikia hΓ’ta 20% ya anachotaka. Hii simba sc hii[emoji28]
Mahaba ni upofo. Kwenye mpira kuna matokeo halafu kucheza mpira mzuri. Timu inaweza ikapata ushindi lakini kwenye upande wa uchezaji ukawa ni wa kawaida tu. Au timu inaweza kufungwa lakini mpira wameupiga mwingi. Au vyovyote kwa pamoja yaani matokeo na kuupiga mwingi. Leo Simba wamepata matokeo ila kwenye kucheza soka safi badoUmeangalia mpira? Umeona simba imechaza vizuri??
Kuna wachezaji ni wasumbufu kwa mabeki kibu ni mojawapo,mwanzo mwisho beki anayekutana naye lazima apate presha ,halafu kibu tatizo lake ni ndogo sana ,mi namkubali kuliko Bocco . Hii mechi kidogo imempunguzia presha inayokuja utaona atakavyokuwa anabadilikaMkuu msamehe tu huyo mkuu hajui mpira humu wengi ni bendera fata upepo kazi yote ya kibu ile wala hawezi kuiona.
Siku zote team kubwa hupata alama 3 bila kujali imechezaje.Mahaba ni upofo. Kwenye mpira kuna matokeo halafu kucheza mpira mzuri. Timu inaweza ikapata ushindi lakini kwenye upande wa uchezaji ukawa ni wa kawaida tu. Au timu inaweza kufungwa lakini mpira wameupiga mwingi. Au vyovyote kwa pamoja yaani matokeo na kuupiga mwingi. Leo Simba wamepata matokeo ila kwenye kucheza soka safi bado
Sawa kama ni maoni yako hayoSiku zote team kubwa hupata alama 3 bila kujali imechezaje.
Mzamiru kuumia ndo tatizoHalafu simba wamepoa sana kipindi cha pili,tatizo Ni nini hasa aisee
Tupo matakoni kwenu kama alivyosema OKW BOBAN SUNZU ole wenu mchume mbona Sasa.Sawa kama ni maoni yako hayo
Ngoja tuone mla parikiUpepo tu wa muda mfupi wa huyu somo yake muuza unga wa Kicolombia.
Sasa hivi wanasema ligi bado mbichi πππHii ndio Simba tunayoijua ushindi kwetu kawaida Uto mjiandae kisaikolojia eti mwaka wenu yaan mechi 5 mnataka ubingwa kenge nyie Uto na mtanuna sana kwa Simba pira kihispaniola mixer biriani pira Ushindi