Sisi tukikaa mbele huwa hatujaribu kuchuma tembele kama nyie.Unakumbuka msimu uliopita mlipojaribu kuchuma tembele ilikuwaje?Sawa kumbuka na nyie mnapambana mkae mbele, hivyo siku ambayo mtakuwa mbele na Yanga nao watakuwa matakoni kwenu kama ilivyosasa kwa Simba. Jitahidi kupambana kukaliwa nyuma na nyie
Mwaka jana walituacha point zaidi ya 10 ,leo wakishinda wanatuacha kwa 4 tu ,kazi wanayoSisi tukikaa mbele huwa hatujaribu kuchuma tembele kama nyie.Unakumbuka msimu uliopita mlipojaribu kuchuma tembele ilikuwaje?
Wakati mwaka jana mnaachwa kwa hizo pointi 10, na idadi ya michezo mliocheza ilikuwa sawa au mechi zenu zilikuwa nyingi zaidi mpaka uweke comparative hiyo?Mwaka jana walituacha point zaidi ya 10 ,leo wakishinda wanatuacha kwa 4 tu ,kazi wanayo
Haijalishi ,hata kama hatupo nyuma tutawakuta tu hiyo furaha yenu ya mdaWakati mwaka jana mnaachwa kwa hizo pointi 10, na idadi ya michezo mliocheza ilikuwa sawa au mechi zenu zilikuwa nyingi zaidi mpaka uweke comparative hiyo?
Uhali gani mpaka muda huuSawa kumbuka na nyie mnapambana mkae mbele, hivyo siku ambayo mtakuwa mbele na Yanga nao watakuwa matakoni kwenu kama ilivyosasa kwa Simba. Jitahidi kupambana kukaliwa nyuma na nyie
Hata msimu uliopita mbona kuna wakati Simba aliongoza ligi kisha Yanga akaja kuongoza ligi. Ni swala la utamalizaje tu na sio unaanzaje.Sisi tukikaa mbele huwa hatujaribu kuchuma tembele kama nyie.Unakumbuka msimu uliopita mlipojaribu kuchuma tembele ilikuwaje?
Si Ruvu bali Manura na NyoniRuvu wameharibu cleansheet
Sio KIBU pekeealiyemsajili Kibu ni mpumbavu wa muda wote
Mashabiki bwana yaani ndio kwanza raundi ya sita mnapiga midomo kibao wakati bado mechi 24
Leo kumbe huu msemo mnautumia sasaMashabiki bwana yaani ndio kwanza raundi ya sita mnapiga midomo kibao wakati bado mechi 24
Kumbe unajua kabisa kuwa jinsi unavyomaliza misimu ndio kipimo cha ubora? Basi acheni kujipa ubingwa mapema.Hata msimu uliopita mbona kuna wakati Simba aliongoza ligi kisha Yanga akaja kuongoza ligi. Ni swala la utamalizaje tu na sio unaanzaje.
Uto wametepeta kabisaKumbe unajua kabisa kuwa jinsi unavyomaliza misimu ndio kipimo cha ubora? Basi acheni kujipa ubingwa mapema.
Mechi isiyochezwa ni sawa na hakuna kitu.Wakati mwaka jana mnaachwa kwa hizo pointi 10, na idadi ya michezo mliocheza ilikuwa sawa au mechi zenu zilikuwa nyingi zaidi mpaka uweke comparative hiyo?