Ruvu Shooting 1-3 Simba SC | Ligi Kuu | CCM Kirumba

Ruvu Shooting 1-3 Simba SC | Ligi Kuu | CCM Kirumba

NBC imerejea leo, Mechi kubwa Inayotazamiwa ni wenyeji RUVU SHOOTING vs Simba SC.

Baada ya Mapumziko ya wiki kadhaa sasa ngoma inarejea

Tutarajiri Nini Kutoka Kwa Simba? Au Ruvu Shooting wataendelea kuwa Bora?
Simba ushindi tu na si kingine leo
 
Maana yake ni kuwa kocha hajaridhika na usajili wa bench la Gomez.
Simba mwaka huu usajili ulikuwa ni wa kitapeli, basi tu watu wabishi.
Hiki kikosi, ingawa mimi Yanga kutakuwa na shughuli leo.
Sio KWELI.Kasuka kikosi maybe kutokana na mpinzani wake,kutokuwepo Kwa wachezaji walio sajiriwa na Gomez Sio kwamba ndo hawata cheza Tena.Kocha Yeye ndo anajua sababu ya kuwaacha nje hao wengine.
 
Hiki kikosi kwangu imekuwa kama surprise ,labda kama ana mbinu zake
Shida iko wapi mkuu hapa mbinu ni kucheza mipira mirefu sababu ya uwanja ndo maana kaanza na mawinga wawili Morrison na dillunga
 
Kama kawaida tena tupige magoli ya mapema kama chicharito
Duuh huyu refa sasa mmh lkn poa tutafika tu, haya makwanja anayopigwa Morrison sidhani kama atatoka salama kwenye huu mchezo
 
Back
Top Bottom