Simba ushindi tu na si kingine leoNBC imerejea leo, Mechi kubwa Inayotazamiwa ni wenyeji RUVU SHOOTING vs Simba SC.
Baada ya Mapumziko ya wiki kadhaa sasa ngoma inarejea
Tutarajiri Nini Kutoka Kwa Simba? Au Ruvu Shooting wataendelea kuwa Bora?
Hapana hii mechi Simba anashinda kwa clean sheet.Simba 4 ruvu 1
Leo ushindi mnene tu bila shida yoyoteKwa mara ya kwanza pira madrid kupigwa leo hii
Sio KWELI.Kasuka kikosi maybe kutokana na mpinzani wake,kutokuwepo Kwa wachezaji walio sajiriwa na Gomez Sio kwamba ndo hawata cheza Tena.Kocha Yeye ndo anajua sababu ya kuwaacha nje hao wengine.Maana yake ni kuwa kocha hajaridhika na usajili wa bench la Gomez.
Simba mwaka huu usajili ulikuwa ni wa kitapeli, basi tu watu wabishi.
Hiki kikosi, ingawa mimi Yanga kutakuwa na shughuli leo.
Shida iko wapi mkuu hapa mbinu ni kucheza mipira mirefu sababu ya uwanja ndo maana kaanza na mawinga wawili Morrison na dillungaHiki kikosi kwangu imekuwa kama surprise ,labda kama ana mbinu zake
Kama kawaida tena tupige magoli ya mapema kama chicharitoLeo ushindi mnene tu bila shida yoyote
Kakosea wapi?Hiki kikosi kwangu imekuwa kama surprise ,labda kama ana mbinu zake
Duuh huyu refa sasa mmh lkn poa tutafika tu, haya makwanja anayopigwa Morrison sidhani kama atatoka salama kwenye huu mchezoKama kawaida tena tupige magoli ya mapema kama chicharito
Bwalya yuko wapi? Wawa sio beki, Kibu ni ujinga tu pale mbeleKakosea wapi?
Hakuna taabu Simba hatuna tabia ya kulalamika ovyo ovyoPenat ya wazi
Duuh[emoji848] ,hatariiBwalya yuko wapi? Wawa sio beki, Kibu ni ujinga tu pale mbele
oyaaa mechi kumbe imeanza ngoja nijivute kibanda umizaDuuh huyu refa sasa mmh lkn poa tutafika tu, haya makwanja anayopigwa Morrison sidhani kama atatoka salama kwenye huu mchezo