Ruvu Shooting 1-3 Simba SC | Ligi Kuu | CCM Kirumba

Ruvu Shooting 1-3 Simba SC | Ligi Kuu | CCM Kirumba

Hawa Ruvu ndo walicheza na Yanga Dar au si hawa?
Ndio hawa hawa Simba waliingia kipindi cha kwanza kwa nguvu sana wakawa wana press sana hasa wakipoteza mipira halafu wao Ruvu wakawa wanacheza wanapa uhuru wachezaji wa Simba.
 
Back
Top Bottom