Ruvu Shooting yafungiwa na kushushwa daraja

Ruvu Shooting yafungiwa na kushushwa daraja

Timu ya jeshi ambayo iko serious na football ni Tanzania prisons tu... na ndo maana miaka nenda rudi Tanzania prisons walau inajitahidi ku~maintain status ya ligi kuu..
 
walishindwa kuchgukua hatua hiyo kwa Simba kwa vile waliogopa Simba itashushswa daraja na kuzuiwa misimu miwli, wakaamaua busara itumike. Kanuni inafanya kazi kwa timu ndogo tu ila kwa timu kubwa ni busara ndiyo inayotumika
 
Kweli wadau wote wameshindwa kuisaidia hii timu?? Mkuu wa mkoa, mkuu wa wilaya, mbunge, wafanyabiashara na wengineo....
 
TFF wanakula tu maokoto. Kwa nini wasingeikopesha hiyo timu imalizie michezo yake iliyosalia?
 
Lakini Ruvu shooting si timu ya jeshi? Imeshindwaje
Ruvu shooting siyo timu ya jeshi.FIFA walikataza timu zaidi ya moja kumilikiwa na mtu au kampuni moja.JKT wakaunda JKT Tanzania na Ruvu shooting iliuzwa kwa watu wengine ambao baadhi walikuwa maofisa wa JKT Ruvu.Inaonekana wamechemka kifedha
 
Back
Top Bottom