Ruvuma: Afikishwa mahakamani kwa kuzaa na binti yake. Alimlaghai kwa kumwambia anamtibu kupitia uume wake

Walitoweka wote kusikojulikana baba na mtoto aliembaka mama yake,
 
Huyo jamaa aliyembaka mama yake alishakamatwa na tayari kaianza safari ya hukumu yake
 
Ah jamaa kaona bora vizuri ale mwenyewe🤣🤣🤣🤣🤣
 
Shetani kabisa.
Si mnaonaga sifa kusifiana ushetani, msifieni sasa mwenzenu kawawakilisha.
 
Yaani Wanawake water hao Waliojaa, unamtamani Binti Yako Hadi Kuzaa naye?!
Mzee aende TU zaidi ya Miaka 30!
Hakuna haja ya Kesi Hapo! Ni kupoteza TU Muda.....
 
Mzee ni too much akale miaka 30 ila Msichana wa miaka 17 naye ni mbumbumbu....
 
Alafu bado utakuta kuna binadamu wanamtetea kwenye kesi yake...
 
duh hatari.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…