Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Atamwita BababuuSasa mtoto aliyezaliwa atamuita babu au baba?
Kula tunda kimasihara, kumemponza, hizi I'd fake, yawezekana mzee yuko humu, hasa kule mmuUle uzi yawezekana ulipitiwa na huyu mzee
Walitoweka wote kusikojulikana baba na mtoto aliembaka mama yake,Nyanda za juu kusini wnaa mambo ya ajabu sana.
Juzi jamaa amembaka mama yake na kisha baba yake akamuwekeza dhamana na jamaa ametoweka kusikojulikana.
Yaani ubake mama yako kisha baba yako aje kukuwekeza zamana halafu utoweke kusikojulikana.
Kwa ufupi ni kwamba baba na mtoto walifanya ama walikula njama dogo ambake mama yake.
Ukiuliza utaambiwa ni mganga alisema.
Apana atamwita baba-babuAtamwita Bababuu
Huyo jamaa aliyembaka mama yake alishakamatwa na tayari kaianza safari ya hukumu yakeNyanda za juu kusini wnaa mambo ya ajabu sana.
Juzi jamaa amembaka mama yake na kisha baba yake akamuwekeza dhamana na jamaa ametoweka kusikojulikana.
Yaani ubake mama yako kisha baba yako aje kukuwekeza zamana halafu utoweke kusikojulikana.
Kwa ufupi ni kwamba baba na mtoto walifanya ama walikula njama dogo ambake mama yake.
Ukiuliza utaambiwa ni mganga alisema.
Huyo jamaa aliyembaka mama yake alishakamatwa na tayari kaianza safari ya hukumu yake
BabubaSasa mtoto aliyezaliwa atamuita babu au baba?
Ah jamaa kaona bora vizuri ale mwenyewe🤣🤣🤣🤣🤣Mkazi wa kijiji cha Luhagala, kata ya Litumbandyosi wilaya ya Mbinga mkoa wa Ruvuma, Aleyanda Mdendemi (54) amefikishwa katika Mahakama ya Wilaya kwa tuhuma za kufanya mapenzi na watoto wake wawili na kuzaa na mmoja kati yao.
Akisomewa mashtaka hayo na mwendesha mashtaka wa polisi, Inspekta Seilf Kilungwe mbele ya Hakimu Mkazi Mfawidhi, Ally Mkama amedai kuwa mbali na kufanya mapenzi na mabinti zake, pia anatuhumiwa kumuachisha masomo binti yake wa shule ya sekondari.
Mshtakiwa huyo ambaye ni baba mzazi wa watoto hao wawili anadaiwa kutenda makosa hayo katika nyakati tofauti ambapo katika faili la kwanza anatuhumiwa kufanya mapenzi na binti yake (17) mwanafunzi wa kidato cha tatu, Desemba mwaka jana shambani kwao Kata ya Amani Makolo akidai anamtibu kupitia uume wake, kwani binti huyo alikuwa mgonjwa.
Aidha, mwendesha mashtaka ameendelea kudai kuwa mshtakiwa aliendelea kumlaghai binti huyo na kuendelea kufanya naye kitendo hicho kwa kipindi chote wakiwa shambani mpaka waliporudi kijiji cha Luhagala tayari binti yake alikuwa mjamzito na kisha kujifungua mtoto.
Credit: Swahili Times
Yaani Wanawake water hao Waliojaa, unamtamani Binti Yako Hadi Kuzaa naye?!Mkazi wa kijiji cha Luhagala, kata ya Litumbandyosi wilaya ya Mbinga mkoa wa Ruvuma, Aleyanda Mdendemi (54) amefikishwa katika Mahakama ya Wilaya kwa tuhuma za kufanya mapenzi na watoto wake wawili na kuzaa na mmoja kati yao.
Akisomewa mashtaka hayo na mwendesha mashtaka wa polisi, Inspekta Seilf Kilungwe mbele ya Hakimu Mkazi Mfawidhi, Ally Mkama amedai kuwa mbali na kufanya mapenzi na mabinti zake, pia anatuhumiwa kumuachisha masomo binti yake wa shule ya sekondari.
Mshtakiwa huyo ambaye ni baba mzazi wa watoto hao wawili anadaiwa kutenda makosa hayo katika nyakati tofauti ambapo katika faili la kwanza anatuhumiwa kufanya mapenzi na binti yake (17) mwanafunzi wa kidato cha tatu, Desemba mwaka jana shambani kwao Kata ya Amani Makolo akidai anamtibu kupitia uume wake, kwani binti huyo alikuwa mgonjwa.
Aidha, mwendesha mashtaka ameendelea kudai kuwa mshtakiwa aliendelea kumlaghai binti huyo na kuendelea kufanya naye kitendo hicho kwa kipindi chote wakiwa shambani mpaka waliporudi kijiji cha Luhagala tayari binti yake alikuwa mjamzito na kisha kujifungua mtoto.
Credit: Swahili Times
...Hivi Hata inasimamaje Kwa Mtoto Wako Mwenyewe ?!Daah mzee ameamua kula mayai yake
duh hatari.Mkazi wa kijiji cha Luhagala, kata ya Litumbandyosi wilaya ya Mbinga mkoa wa Ruvuma, Aleyanda Mdendemi (54) amefikishwa katika Mahakama ya Wilaya kwa tuhuma za kufanya mapenzi na watoto wake wawili na kuzaa na mmoja kati yao.