Tumwesige senior
JF-Expert Member
- Jan 28, 2013
- 3,506
- 6,305
Akikamatwa mtuhumiwa kabla ya kufungwa apigwe mkuyenge kwanza,poleni wafiwa
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sasa hiyo adhabu gani, na kwa kifungu kipi cha sheria, na Katiba ipi ipi ya Jamhuri ya Muungano .Akikamatwa mtuhumiwa kabla ya kufungwa apigwe mkuyenge kwanza,poleni wafiwa
HahahaWanaume tuna vichwa viwili,ukikubali kichwa kidogo kiendeshe kikubwa umekwisha
na pengine huko yeye ndio ataliwa unyumbaIla pamoja na kunyimwa unyumba,sasa baada ya kuua ndio ataupata au ataukosa zaidi akiwa jela
Miaka 22 tiar upo kwenye ndoa alafu utaki kutoa mzigo why so
Na nyinyi vijana wezangu acheni kuoa wanawake ambao hawajui maandiko
Mwanamke anaejua maandiko anafahamu fika kabisa kuwa hana mamlaka na mwili wake mwenyewe
Ndio mtaishia kuuawa tuUnyumba sio kama maji ya kunywa, Kuna factors zake.
Utajua mwenyeweIla pamoja na kunyimwa unyumba,sasa baada ya kuua ndio ataupata au ataukosa zaidi akiwa jela
Hii ni hatari jamani,unyumba tu unapelekea mauaji!!!,angekuwa na wake halali wawili au watatu yasingetokea hayo,angeweza kujipoza kwa mwingine ati,Martin Hyera, mkazi wa Kijiji cha Kizuka, wilayani Songea anatafutwa na Jeshi la Polisi Mkoani Ruvuma, kwa tuhuma za Kumuua Mke wake Luciana Kapinga kwa kumpiga na kitu chenye ncha kali kichwani chanzo kikiwa kunyimwa Unyumba.
Kamanda wa Jeshi la Polisi mkoa wa Ruvuma, SACP Marco Chilya, amethibitisha kutokea kwa tukio hilo lililotokea, Novemba 14,2024 Majira ya saa 12 Asubuhi katika kitongoji cha mbilo kijiji cha kizuka kilichopo kata ya kizuka Tarafa ya Mhukuru Wilayani Songea.
"Mwanamke aliyejulikana kwa jina la Luciana Dastani kapinga (22) mkulima mkazi wa kitongoji cha mbilo aliuawa kwa kupigwa na kitu kizito chenye ncha kali maeneo ya kichwani upande wa juu wa jicho la kushoto hadi kichwa kubonyea na mume wake aitwaye Martin Hyera Baada ya kumnyima Unyumba"
"Wawili hao walionekana alfajiri wakikimbizana huku Mtuhumiwa Martin Hyera akiwa ameshika mpini wa Shoka kisha kutekeleza Mauaji hayo na baada ya kutekelezea mauaji hayo Mtuhumiwa alimpigia simu shangazi yake aitwaye Paulina nchimbi na kumjulisha kuwa amemuua Mke wake kwa sababu amekuwa akimnyima unyumba kwa muda mrefu kisha Mtuhumiwa huyo alitoroka" - SACP Marco Chilya, Kamanda wa Jeshi la Polisi mkoa wa Ruvuma
Kwani lazima kutoa hata Kama huna mzuka?Safi sana kwann mmnyime mwenzake
Kwa shetaniAkatoe unyumba uko