Ruvuma hatuandamani

Ruvuma hatuandamani

Ruvuma tuandamane ili tupate nn?
1. Songea Mjini, Tunduru, Peramiho, Mbinga, Nyasa kote ni kijani.

2. Mbolea, Pembejeo ruzuku kama zote.

3. Lami mpaka ziwa Nyasa .
Bakini na umaskini wenu.
 
Ruvuma tuandamane ili tupate nn?
1. Songea Mjini, Tunduru, Peramiho, Mbinga, Nyasa kote ni kijani.

2. Mbolea, Pembejeo ruzuku kama zote.

3. Lami mpaka ziwa Nyasa .
Ngoni migrants hamna sababu sio Watanganyika endeleeni kulima mahindi 🤣🤣🤣
 
Tupo bize na tamasha la utamaduni
Nyie endeleeni kulima mahindi, mkileta hapa mjini tunanunua gunia kwa shilingi 25,000. Mtaendelea kuumia sana sisi tuko mjini tunanunua mazao yenu kwa bei ya kutupa na hakuna kitu mtafanya.
 
Ruvuma tuandamane ili tupate nn?
1. Songea Mjini, Tunduru, Peramiho, Mbinga, Nyasa kote ni kijani.

2. Mbolea, Pembejeo ruzuku kama zote.

3. Lami mpaka ziwa Nyasa .
 

Attachments

  • 20240923_105848.jpg
    20240923_105848.jpg
    97.7 KB · Views: 1
Ruvuma tuandamane ili tupate nn?
1. Songea Mjini, Tunduru, Peramiho, Mbinga, Nyasa kote ni kijani.

2. Mbolea, Pembejeo ruzuku kama zote.

3. Lami mpaka ziwa Nyasa .
Ruvuma Nyerere aliiweka tu kubalance ramani ya Tanganyika,ila hamna chochote mnachocgangia kwenye pato la taifa
 
Kuandamana si jawabu la kufikia maendeleo. Weka hoja mezani na wananchi wakikuelewa umetoboa.
Msitegemee mataifa ya nje kuwasemea, ni hoja zako tu ndio ufumbuzi na ukombozi wa mtanzania.
 
Back
Top Bottom