Ruvuma: Jela miaka 60 kwa kosa kubaka na kumpa mimba Mwanafunzi

Ruvuma: Jela miaka 60 kwa kosa kubaka na kumpa mimba Mwanafunzi

Hii sio sawa, miezi 6 tu inatosha, maana huyo mwanafunzi unaweza kuta ana miaka 20 na yupo form 6. Hivyo tafsiri ya kubaka inapungua nguvu, maana amekubali mwenyewe kushiriki, japo kisheria bado ni ubakaji.
Muwe mnasoma Habari kabla ya kucomment Mwanafunzi ni wa Darasa la Saba
 
Hakuna shida mkuu,nilistuka kidogo nikajua lazima wwe utakua foreigner,hujui la saba kama ni primary ndani ya Tanzania !!
hapana mkuu yaan nilisoma hatua kwa hatua 😀😀 mwandishi hakuweka taarifa yote
 
Ningefungwa mimi.., sema nn jamaa hana hela hana maelewano na wazaz... Bongo ukifungwa umejitakia kama wale wa ripoti ya cag 2022 hawajafungwa hadi leo unategemea nini
 
Hii hukumu ni kukomoana,ifike wakati serikali ibadili aina hii ya hukumu,miaka ipunguzwe iwe hata 15,miaka 30 nikupoteza nguvu ya taifa pia mtoto anahitaji baba yake.
 
Back
Top Bottom