Ruvuma: Mamba aliyeua binadamu ageuzwa kitoweo

Ruvuma: Mamba aliyeua binadamu ageuzwa kitoweo

Wamemshukuru nani? Sema waache hizi mambo za kuoga mitoni serikali si imesema imepeleka maji na umeme kila kijiji au ni mazoea tu.

Waache hayo mazoea mara moja!
 
Kuoga ziwani,baharini na swimming pool siwezi kwa kweli, bafu linanitosha labda na mvua ininyeshee
 
Tunawaendekeza sana Mamba.
Anzeni kuwatega na kuwala watakimbia hayo maeneo.
Nyasa ni ziwa kubwa halafu haliruhusiwi kuoga.
Yaani tunawaendekeza mamba kuliko binadamu.
Kuleni hao mamba ni watamu sana na watatoweka kabisa watu watumie mali asili ya ziwa kwa manufaa yao.
 
Back
Top Bottom