Uchaguzi 2020 Ruvuma: Matukio na Matokeo ya Uchaguzi Mkuu 2020 kama yanavyotujia

Uchaguzi 2020 Ruvuma: Matukio na Matokeo ya Uchaguzi Mkuu 2020 kama yanavyotujia

Roving Journalist

JF Roving Journalist
Joined
Apr 18, 2017
Posts
3,984
Reaction score
13,760
Wakuu,

Mada hii itakuwa na 'Updates' za Uchaguzi Mkuu 2020 kama yanavyotujia kutoka kwenu kutoka mkoa wa Ruvuma. Ukiwa na taarifa yoyote ambayo ni ya eneo hili tafadhali usisite kuweka.

Mkoa wa Ruvuma una jumla ya majimbo ya uchaguzi 9 ambayo ni:-

Songea Mjini -
Dkt. Damas Ndumbaro(CCM) - Kura 39,783
Aden Mayala(CHADEMA) - Kura 15,146

Nyasa:
Eng. Stella Manyanya (CCM) - Kura 34,937
Casberth Kiwango(CHADEMA) - Kura 4,055.

Tunduru Kaskazini -
Hassan Kungu (CCM)

Tunduru Kusini -
Daimu Mpakate (CCM) - Kura 26,982
Abdalah Mtutula (ACT Wazalendo) - Kura 23,968.

Peramiho -
Jenista Mhagama (CCM) - Kura 27,479
Silvester Mapunda (CHADEMA) - Kura 3,440

Namtumbo -
Vita Kawawa (CCM)

Madaba
-
Joseph Kizito Mhagama - amepita bila kupingwa

Mbinga Mjini -
Jonas William Mbunda (CCM) - Kura 26,698
Efrem Milinga (CCM) - 5,243

Mbinga Vijijini -
Benaya Kapinga (CCM)


ZINGATIA: Mikoa yote ina mada yake ya 'Update' ili kuweka wepesi katika ufuatiliaji.
 
Umeanzisha thread nyingi sana halafu Hakuna update

Pathetic
 
Back
Top Bottom