Mindyou
JF-Expert Member
- Sep 2, 2024
- 1,869
- 4,877
Leo Novemba 27,2024 Mkuu wa Mkoa wa Ruvuma Kanali Ahmed Abbas akiwa ameongozana Mkewe Bi.Riziki kwa pamoja wameungana na Watazania Wengine kushiriki katika zoezi la kupiga kura za Uchaguzi wa Serikali za Mitaa katika kituo Ofisi ya Kata Namba Moja kilichopo Mtaa wa Mahenge Manispaa ya Songea .
Kanali Ahmed amewasihi na kuwahimiza Wananchi wote Mkoani humo ambao bado hawajakamilisha zoezi ilo la kupiga kura za Uchaguzi wa Serikali za mitaa waendelee kujitokeza kwa wingi katika Vituo vyao walivyojiandikisha