Ruvuma: Mwalimu afariki kwenye ajali ya gari, wengine 11 wakiwemo wanafunzi wajeruhiwa

Ruvuma: Mwalimu afariki kwenye ajali ya gari, wengine 11 wakiwemo wanafunzi wajeruhiwa

The Sheriff

JF-Expert Member
Joined
Oct 10, 2019
Posts
747
Reaction score
2,112
Mwalimu Jumanne Makandilu amefariki dunia huku watu wengine 11 wakiwemo wanafunzi 7, wakazi wa Mkoani Songwe wakijeruhiwa baada ya gari waliyopanda kutumbukia kwenye korongo wilayani Namtumbo mkoani Ruvuma wakati wakitoka Kwenye Michezo ya UMITASHUTA na UMISETA Mkoani Mtwara.

E4VXCE7X0AICj0v.jpg


Chanzo: ITV
 
baada ya gari waliyopanda kutumbukia kwenye korongo wilayani Namtumbo mkoani Ruvuma wakati wakitoka Kwenye Michezo ya UMITASHUTA na UMISETA Mkoani Mtwara.
Nawaona wahusika wanajiandaa kumkamata mmiliki wa bus
 
daaaah aise mwalimu hata hajaonja jasho la kupanda daraja
 
Mungu ampatie pumziko salama la milele na awape uponaji wa haraka majeruhi wote!
 
Back
Top Bottom