The Sheriff
JF-Expert Member
- Oct 10, 2019
- 747
- 2,112
Mwalimu Jumanne Makandilu amefariki dunia huku watu wengine 11 wakiwemo wanafunzi 7, wakazi wa Mkoani Songwe wakijeruhiwa baada ya gari waliyopanda kutumbukia kwenye korongo wilayani Namtumbo mkoani Ruvuma wakati wakitoka Kwenye Michezo ya UMITASHUTA na UMISETA Mkoani Mtwara.
View attachment 1824762
Chanzo: rip mwslimu
R.I.P ndio madhara kubana pesa afu wanakodi magari mabovu
Nawaona wahusika wanajiandaa kumkamata mmiliki wa busbaada ya gari waliyopanda kutumbukia kwenye korongo wilayani Namtumbo mkoani Ruvuma wakati wakitoka Kwenye Michezo ya UMITASHUTA na UMISETA Mkoani Mtwara.