Cute Wife
JF-Expert Member
- Nov 17, 2023
- 1,906
- 5,000
Salam Wakuu,
Aisee tunawasema akina Mwijaku kila mara kuwa chawa utafikiri hawana ubongo, kubwa zaidi ni viongozi wa CCM. Aisee, na Rais anashukuru kabisa, kukubali yeye kajenga miradi, yeye katoa hela, etc. Bila wananchi kulipa kodi zingtoka wapi?
Pia soma:
www.jamiiforums.com
Yaani kila kiongozi ni kujikomba tu ili apate uhakika wa kuonwa na Mama, 2025 mambo yatakuwa balaa, kuna watu naona watauza roho zao mradi tu waonekane! Ni huzuni!
Kwenye video ni Naibu Waziri wa Nishati Judith Kapinga na Madiwani wakitetea ugali wao, baada ya Jenista wa kugarauka kuonesha njia.
Pia soma: Rais Samia anazindua jengo la Ofisi ya Mkurugenzi Mtendaji wa Wilaya ya Mbinga

LIVE - Uzi Maalum wa Vibweka na Hekaheka za wanasiasa kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025
Wakuu, Wabunge wameshaanza maigizo na mazingaombwe kuelekea uchaguzi mkuu 2025, wengine wanapanda baskeli, wengine wanaenda kula kwa mama ntilie, wengine wanapaki viete na kuingia na maguta, wengine wanakuwa majinjia ghala na kuanza kuendesha mitambo. Yaani ni hekaheka, patashika nguo...