Cute Wife
JF-Expert Member
- Nov 17, 2023
- 1,906
- 5,000
Wakuu,
Kama Rais mwenyewe afanya kampenzi za uchaguzi wakati ambao sio stahiki, unategemea wanachama wenzake huko chini watafanya mambo tofauti?
====
Kafanyeni kweli kwenye serikali za mitaa. Zitakuja rangi nyingi kuwashawishi mpige kura lakini rangi yetu tunayoijua ni kijani na njano.
Kwahiyo serikali za mitaa msiende kufanya makosa, kapigieni kura Chama Cha Mapinduzi, ili mambo haya mazuri tunayoyaona tuendelee kuyaleta – Rais Samia akizungumza na wananchi Mbinga, Ruvuma