LGE2024 Ruvuma: Rais Samia asema wananchi wasifanye makosa Uchaguzi Serikali za Mitaa, rangi za kuchagua ni Njano na Kijani

Uchaguzi wa Serikali za Mitaa 2024

Cute Wife

JF-Expert Member
Joined
Nov 17, 2023
Posts
1,906
Reaction score
5,000
Wakuu,

Kama Rais mwenyewe afanya kampenzi za uchaguzi wakati ambao sio stahiki, unategemea wanachama wenzake huko chini watafanya mambo tofauti?

====

Kafanyeni kweli kwenye serikali za mitaa. Zitakuja rangi nyingi kuwashawishi mpige kura lakini rangi yetu tunayoijua ni kijani na njano.

Kwahiyo serikali za mitaa msiende kufanya makosa, kapigieni kura Chama Cha Mapinduzi, ili mambo haya mazuri tunayoyaona tuendelee kuyaleta
– Rais Samia akizungumza na wananchi Mbinga, Ruvuma

Your browser is not able to display this video.
 
Uchaguzi wa serikali za mtaa utamshangaza sana mwaka huu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…