Mshangazi mdogomdogo
Member
- Sep 23, 2024
- 64
- 43
mamlaka ya maji Safi Na usafi WA mazingira Songea(SOUWASA) mnawaumiza sana wateja wenu bill mnazotoa Ni kubwa kuliko matumizi. Nyumba ambayo imefungwa maji hayatumiki Kwa mwezi nzima mnatoa bill kuwa mteja anadaiwa laki tatu na themanini na Saba wakati matumizi yake Kwa mwezi hayajawahi kufika hata elfu 30 na miundo mbinu ya maji kuingia nyumbani kwake hakuna sehemu maji yanavuja.
Na wengi wamekuwa wakilalamika kuhusu suala la bill kutoka tofauti Na matumizi Na hakuna majibu yoyote Zaidi ya kutakiwa kulipa deni.
Basi kabla hamjatoa hizo bill fuatilieni matumizi ya mteja kila mwezi ili muweke ulinganifu walau unaokaribia ukweli.