Muuza Kangala
JF-Expert Member
- Jul 21, 2021
- 1,242
- 4,813
kwann wakristo ndio wanaongoza kwa mauaji ya kishirikina?
kwa nini na waganga wengi wanaoendekeza shiriki hizi ni waislam?kwann wakristo ndio wanaongoza kwa mauaji ya kishirikina?
Huu ndio ujinga ambao watu wajinga wanatakiwa waogope tu kwamba wakifanya watakamatwa.Baba wa kambo na mama mzazi wanashikiliwa na polisi Ruvuma kwa tuhuma za kumuua na kumfukia kwenye shimo la takataka mtoto wao wa miaka 6 aitwaye Paul Haule huku sababu zikiwa ni imani za kishirikina ambapo wamesema wamefanya mauaji hayo wakiwa na nia ya kupata utajiri.
Tukio limetokea katika Kijiji cha Peramiho A kata ya Peramiho wilaya ya Songea mkoani Ruvuma.
View attachment 2531411
Kweli hii nchi ina wajinga wengi!Baba wa kambo na mama mzazi wanashikiliwa na polisi Ruvuma kwa tuhuma za kumuua na kumfukia kwenye shimo la takataka mtoto wao wa miaka 6 aitwaye Paul Haule huku sababu zikiwa ni imani za kishirikina ambapo wamesema wamefanya mauaji hayo wakiwa na nia ya kupata utajiri.
Tukio limetokea katika Kijiji cha Peramiho A kata ya Peramiho wilaya ya Songea mkoani Ruvuma.
View attachment 2531411