Uchaguzi 2020 Ruzuku ya CHADEMA yanunulia magari ya kampeni

Upupu unaoandika humu unaonyesha kwamba mmiliki wa sifa ulizotaja ni wewe
 
Upo sahihi kiongozi, dunia imebadilika na inakwenda kubadilika zaidi baada ya sakata la covid 19, makampuni mengi yanakwenda kupunguza kukodi majengo kwa ajiri ya ofisi. Teknolojia inachukua nafasi
 
Hiyo picha uongo kwa hiyo yameingia bandarini yakiwa na namba tayari na bendera za Chadema?
 
Traffic police jiandaeni kusimamia sheria za usalama barabarani hizo pick up haziruhusiwi kubeba Watu nyuma Ni mizigo tu ndio inatakiwa kupakiwa nyuma wasije pakia Watu nyuma tafadhali

Watu wanatakiwa kupanda mabasi Sio nyuma ya pick-up Kama hizo za chadema
 
Hiyo picha uongo kwa hiyo yameingia bandarini yakiwa na namba tayari na bendera za Chadema?
Mbona inakuuma sana, isijefanya upoteze hata hamu ya kula na hata usingizi usipate.
 
Tunasubiri na lile li - Helikopta bana! Hilo ndilo litakalo kamilisha mizania ya mahesabu ya ruzuku na ile michango.Lazima ibalance.
 
Asaaa wakuu naomba mniajili niwe dereva wa gari moja kati ya hizo 25🙏
 
Tuwekee na kadi za hayo magari tuond mmiliki wake ni nani, maana nasikia magari yote yana jina la Mbowe, baada ya uchaguzi anachukua magari yake.
Yale ya kijani ,mbona hukuleta kadi...?tulia dawa iingie usikukuruke nitamwaga chini..
 
Hiyo ruzuku ingenunua vifaa kwa ajili ya kurusha matangazo kupitia mitandao ya kijamii. Ili kufikisha ujumbe

Vifaa vinavyohitajika ni

-camera yenye sdi out

-wireless microphone ya camera

-sdi cable

-liveUsolo

-modem ya 4G

-line ya 4g yenye bando.



Wakipata hiyo setup wanaweza kuenda live wakiwa popote kwenye mtandao kupitia youtube, facebook. Inabidi wanunue haraka kabla ya kampeni kuanza. Hakuna chombo chochote cha habari kitakacho onesha hata picha ya wapinzani.



NB: wale wazoefu wa kuagiza vitu mtafanya bajeti ya vifaa.
 
Mkuu hujui kitu, hayo magari yametokana na ufadhili wa mabeberu alafu we unaleta habari za ruzuku.
Kura yangu na familia yangu na kura za wafanyakazi wenzangu na familia zao tumeshakubaliana kumpa LISSU kwa sababu NI YEYE!!!
 
Tuwekee na kadi za hayo magari tuond mmiliki wake ni nani, maana nasikia magari yote yana jina la Mbowe, baada ya uchaguzi anachukua magari yake.
Kura yangu na familia yangu na kura za wafanyakazi wenzangu na familia zao tumeshakubaliana kumpa LISSU kwa sababu NI YEYE!!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…