Uchaguzi 2020 Ruzuku ya CHADEMA yanunulia magari ya kampeni

Uchaguzi 2020 Ruzuku ya CHADEMA yanunulia magari ya kampeni

Mlihoji sana ruzuku inakwenda wapi. Haya ni baadhi tu ya maandalizi ya uchaguzi magari 25 mapya ya kupigia kampeni

MAGARI mengine mapya 25 ya Chama kwa ajili ya maandalizi ya Kampeni za Uchaguzi Mkuu wa 2020 yamefika Dar es salaam.
Hayo ni yale ya zamani na yamechoka sasa hivi, mtakuwa mnatembea na mafundi na turbox ilijaa spana.
 
Mlihoji sana ruzuku inakwenda wapi. Haya ni baadhi tu ya maandalizi ya uchaguzi magari 25 mapya ya kupigia kampeni

MAGARI mengine mapya 25 ya Chama kwa ajili ya maandalizi ya Kampeni za Uchaguzi Mkuu wa 2020 yamefika Dar es salaam.
Magari ni mazuri sana, moja ya nguvu muhimu sana ya ushindi wa uchaguzi wowote ni logistical support on mobility na penetration, ila pia Chadema should invested in mass media for mass mobilization and reaching out strategies za kuwafikia Watanzania walio wengi ambao hayo magari wataishia kuyaangalia tuu!. Cost ya
hiyo gari moja, inatosha kununualia transmitter za FM 10.

Cost ya gari moja inatosha kuanzisha FTA TV.
Chadema inashindana na chama chenye gazeti, TV, Redio na online Forum.
P
 
Ukiuliza tenda ya ununuzi wa magari katika taasisi ya UMMA kama hiyo kapewa nani,utaambiwa mwenyekiti ni sawa sawa kutoa pesa mfuko mmoja kwenda mwingine wakati suruali ni ile ile.
 
Magari ni mazuri sana, moja ya nguvu muhimu sana ya ushindi wa uchaguzi wowote ni logistical support on mobility na penetration, ila pia Chadema should invested in mass media for mass mobilization and reaching out strategies za kuwafikia Watanzania walio wengi ambao hayo magari wataishia kuyaangalia tuu!. Cost ya
hiyo gari moja, inatosha kununualia transmitter za FM 10.

Cost ya gari moja inatosha kuanzisha FTA TV.
Chadema inashindana na chama chenye gazeti, TV, Redio na online Forum.
P
Kama gazeti la Tanzania Daima kila siku lina fungiwa hio radio na TV itakuaje
 
Hujaelewa mkuu, mtoa mada kasema zimenunuliwa kwa fedha za ruzuku bt sio kweli, shida ya machadema wengi hamuijui chadema vzuri mnarukia rukia tu mambo.
Kwa Sasa unachotakiwa kufanya Ni kuvaa tu Dela Bila nguo ya Kwanza tu maana mida ya mume kurudi imekaribia.haya ya majirani zako achana nayo huwezi kuyajua kuliko wenyewe.Harakisha kurudi kwako , huku Kuna vijana barobaro watakufanya sio😂😂😂😂😂✌️✌️
 
Wameua brand name ya chama na kutumia kauli mbiu, tena kwa vifupi, tena kwa Viingereza.

Wanavijiji nchini kote wanavyojua wao jina lao limebadilika, wakaulizwa kwenye fomu ya uchaguzi wa serikali za mitaa, Jina la chama kinachokudhamini? Wakajaza MOVEMENT FOR CHANGE

Chama Cha Mapinduzi wakapita bila kupingwa nchi nzima!

Upinzani wetu masikini ya Mungu una njia ndefu sana mbele.
Hadithi zenu hizo peleka kwa watoto wa chekechea. Mliisha kaukiwa mvuto.
 
Kwani wakipewa na wafadhili kuna Kosa gani mbona serikali inapokea misaada ya wahisani pia??
Tunapenda sana kuamdama chadema wakati hasara yote nchi hii tunajua ni nani mwenye kuileta!
 
Hivi Tume ya Uchaguzi.ndiyo.huvinunulia vyama ama?Msaada
 
Nani asiye jua mchezo wa kukopeshwa bila maandishi unaendelea??

Taarifa miaka hii zinatembea uchi.
 
Hongereni lakini mnayo ofisi ya chama dodoma????, maana mnahitaji kukutana na wanachama mara baada ya Lissu kuchukua form.CCM walikutana ofisini kwao. Miaka 20 hata ofisi hamna dodoma duuuu
Mlichobakiza ni kuokoteza vya kuongea
 
Back
Top Bottom