Tangawizi
JF-Expert Member
- Jun 25, 2009
- 6,696
- 6,734
Mlihoji sana ruzuku inakwenda wapi. Haya ni baadhi tu ya maandalizi ya uchaguzi magari 25 mapya ya kupigia kampeni
MAGARI mengine mapya 25 ya Chama kwa ajili ya maandalizi ya Kampeni za Uchaguzi Mkuu wa 2020 yamefika Dar es salaam.
Hongereni sana. Msimgawie mtu baada ya uchaguzi