Saint Ivuga
JF-Expert Member
- Aug 21, 2008
- 54,762
- 59,204
Ila kweli sky ni kama anatubambika,hii M4C ni slogan ya zamani kipindi ya 2015.Picha ya 2015 unaileta leo
Hizi gari zimenunuliwa kwa ruzuku ipi
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ila kweli sky ni kama anatubambika,hii M4C ni slogan ya zamani kipindi ya 2015.Picha ya 2015 unaileta leo
Na ww unathibitisha wamenunua kama nani?Upewe ushahidi wewe ukiwa kama nani? Punguani Wa Chattle.com
we mjinga kweli, bank ukikopa ukaacha kurejesha kwa wakati riba haiongezeki? au huelewi hata taratibu za mikopo, deni linakua coz hatulipi kwa wakati coz pesa nyingi zipo kwenye miradi.Mmepunguza utegemezi wa mikopo wakati taarifa zinaonyesha kuwa deni la taifa limepaa kwa kasi ya ajabu? Je deni hilo linatokana na kitu gani kama si mikopo?
Nafikiri wakati unaandika huu utumbo na machozi yanakutiririka kabisa. Pole sana and take heart.Mkuu hujui kitu, hayo magari yametokana na ufadhili wa mabeberu alafu we unaleta habari za ruzuku.
Mbona ccm hawana ofisi na hulioni hilo??Nawakubali Chadema lakini kwenye ofisi hapana
Utasemaje mtu hana kazi wakati hajawahi kujipanga mlangoni mwako kukuomba msaada. Come of age please and stop being cretin.kwanza unazijua sifa za wafuasi wa chadema?
ili uwe mfuari wa chadema lazima uwe na sifa zifuatazo
1.lazima uwe huna kazi
2.umekata tamaa kimaisha
3.hujielewi
4.uwe na mtindio wa ubongo
5.uwe na mihemko ya kike
6.uwe tayari kuwalamba miguu mabeberu
7.uwe na vyeti feki
8....
9....
10...
Mabeberu ndio marafiki wa ccm,wanawapa mikopo ya sgr,miradi ya umeme etcMkuu hujui kitu, hayo magari yametokana na ufadhili wa mabeberu alafu we unaleta habari za ruzuku.
Mbona ccm mmiliki ni meko,tuliza kijambio mamaTuwekee na kadi za hayo magari tuond mmiliki wake ni nani, maana nasikia magari yote yana jina la Mbowe, baada ya uchaguzi anachukua magari yake.
Mabeberu wametoa sh ngapi kweli hemu tukumbushane?Mkuu hujui kitu, hayo magari yametokana na ufadhili wa mabeberu alafu we unaleta habari za ruzuku.
Hii hapa chini ni sehemu ya maelezo kutoka kwenye ripoti ya CAG ,mwaka huu kama ilivyoripotiwa na Mwananchi.
"Kwa upande wa Chadema, ripoti hiyo imebaini kuwepo matumizi ya Sh205.41 milioni bila ya idhini ya halmashauri kuu ya chama hicho."
source:CAG avianika CCM Chadema, CUF
Toka 1995? tuache utaniMkuu hayo yapo kwenye long term plan, sio kipaumbele kwa sasa.
Ni aibu, mbona hulali kwenye nyasi kwani usingizi hauwezi kuja?Mkuu kuna jambo limewahi kukwama kisa hakuna jengo la Cdm?
TeteteteSUBIRI! CHAMA KISHAJENGWA VYA KUTOSHA KINACHOFUATA BAADA YA UCHAGUZI NI MJENGO KAMA WA WORLD TRADE CENTRE
Inashindikana nini kwenye ruzuku ya bilioni 4 kwa mwaka kutoa milioni 4Bila kuwa priority huwezi kupiga hatua....
CDM mpo makini sana kwenye hili hasa la ujenzi wa chama...bila movements huwezi kuwafikia watanzania walio wengi kwa huu muda mfupi wa kampeni ukizingati jamaa aliwapiga pini miaka 5 huku yeye akifanya siasa kila siku.
Ukweli mtupu mkuuHili nilililalamikia sana
Lumumba, jengo la vijana n.kMbona ccm hawana ofisi na hulioni hilo??
Hilo nalo neno.Acha kuwa mshamba.. kwanini benki wana mabilioni lakini wanapanga?
Naona kiroho kinakuuma. Pole. Ni ruzuku hiyo!Hujaelewa mkuu, mtoa mada kasema zimenunuliwa kwa fedha za ruzuku bt sio kweli, shida ya machadema wengi hamuijui chadema vzuri mnarukia rukia tu mambo.
Njoo nikufanyie ubeberu nikupe gariMkuu hujui kitu, hayo magari yametokana na ufadhili wa mabeberu alafu we unaleta habari za ruzuku.
Pole sana kwa kujikuna na kucheka kama nanihii.kwanza unazijua sifa za wafuasi wa chadema?
ili uwe mfuari wa chadema lazima uwe na sifa zifuatazo
1.lazima uwe huna kazi
2.umekata tamaa kimaisha
3.hujielewi
4.uwe na mtindio wa ubongo
5.uwe na mihemko ya kike
6.uwe tayari kuwalamba miguu mabeberu
7.uwe na vyeti feki
8....
9....
10...