Uchaguzi 2020 Ruzuku ya CHADEMA yanunulia magari ya kampeni

Uchaguzi 2020 Ruzuku ya CHADEMA yanunulia magari ya kampeni

Mmepunguza utegemezi wa mikopo wakati taarifa zinaonyesha kuwa deni la taifa limepaa kwa kasi ya ajabu? Je deni hilo linatokana na kitu gani kama si mikopo?
we mjinga kweli, bank ukikopa ukaacha kurejesha kwa wakati riba haiongezeki? au huelewi hata taratibu za mikopo, deni linakua coz hatulipi kwa wakati coz pesa nyingi zipo kwenye miradi.
 
Mkuu hujui kitu, hayo magari yametokana na ufadhili wa mabeberu alafu we unaleta habari za ruzuku.
Nafikiri wakati unaandika huu utumbo na machozi yanakutiririka kabisa. Pole sana and take heart.
 
kwanza unazijua sifa za wafuasi wa chadema?
ili uwe mfuari wa chadema lazima uwe na sifa zifuatazo

1.lazima uwe huna kazi
2.umekata tamaa kimaisha
3.hujielewi
4.uwe na mtindio wa ubongo
5.uwe na mihemko ya kike
6.uwe tayari kuwalamba miguu mabeberu
7.uwe na vyeti feki
8....
9....
10...
Utasemaje mtu hana kazi wakati hajawahi kujipanga mlangoni mwako kukuomba msaada. Come of age please and stop being cretin.
 
Hii hapa chini ni sehemu ya maelezo kutoka kwenye ripoti ya CAG ,mwaka huu kama ilivyoripotiwa na Mwananchi.

"Kwa upande wa Chadema, ripoti hiyo imebaini kuwepo matumizi ya Sh205.41 milioni bila ya idhini ya halmashauri kuu ya chama hicho."

source:CAG avianika CCM Chadema, CUF

angalizo tu yule jamaaa ni chizi wasitumie izi pesa kumuongezea pombe
 
Bila kuwa priority huwezi kupiga hatua....

CDM mpo makini sana kwenye hili hasa la ujenzi wa chama...bila movements huwezi kuwafikia watanzania walio wengi kwa huu muda mfupi wa kampeni ukizingati jamaa aliwapiga pini miaka 5 huku yeye akifanya siasa kila siku.
Inashindikana nini kwenye ruzuku ya bilioni 4 kwa mwaka kutoa milioni 4
 
Hujaelewa mkuu, mtoa mada kasema zimenunuliwa kwa fedha za ruzuku bt sio kweli, shida ya machadema wengi hamuijui chadema vzuri mnarukia rukia tu mambo.
Naona kiroho kinakuuma. Pole. Ni ruzuku hiyo!
 
kwanza unazijua sifa za wafuasi wa chadema?
ili uwe mfuari wa chadema lazima uwe na sifa zifuatazo

1.lazima uwe huna kazi
2.umekata tamaa kimaisha
3.hujielewi
4.uwe na mtindio wa ubongo
5.uwe na mihemko ya kike
6.uwe tayari kuwalamba miguu mabeberu
7.uwe na vyeti feki
8....
9....
10...
Pole sana kwa kujikuna na kucheka kama nanihii.
 
Back
Top Bottom