Uchaguzi 2020 Ruzuku ya CHADEMA yanunulia magari ya kampeni

CHADEMA na tofautiana nao kushindwa kujenga makao makuu ya chama hata ofisi ya milioni 300 ya kisasa ambayo haina BOQ
Tutajenga ofisi tukichukua nchi ...

Kwasasa Kura yangu na familia yangu na kura za wafanyakazi wenzangu na familia zao tumeshakubaliana kumpa LISSU kwa sababu NI YEYE!!!
 
M
Mlihoji sana ruzuku inakwenda wapi. Haya ni baadhi tu ya maandalizi ya uchaguzi magari 25 mapya ya kupigia kampeni

MAGARI mengine mapya 25 ya Chama kwa ajili ya maandalizi ya Kampeni za Uchaguzi Mkuu wa 2020 yamefika Dar es salaam.
MKUU ULITAKA
WANUMUE.BETPAWA AMA MBET
 
Kampeni ikiisha Mbowe anachukua chake maana kawakopesha japo mengine yametoka kwa mabeberu
 
Mlihoji sana ruzuku inakwenda wapi. Haya ni baadhi tu ya maandalizi ya uchaguzi magari 25 mapya ya kupigia kampeni

MAGARI mengine mapya 25 ya Chama kwa ajili ya maandalizi ya Kampeni za Uchaguzi Mkuu wa 2020 yamefika Dar es salaam.
Bila shaka mzabuni wa kuyanunua hayo magari alikuwa Mtoto wa Mbowe. Peoples!!!!!!!!
 
Mlihoji sana ruzuku inakwenda wapi. Haya ni baadhi tu ya maandalizi ya uchaguzi magari 25 mapya ya kupigia kampeni

MAGARI mengine mapya 25 ya Chama kwa ajili ya maandalizi ya Kampeni za Uchaguzi Mkuu wa 2020 yamefika Dar es salaam.

Charity begins at Home, Hayo magari ni kiini macho, mngepeleka hizo GARI HQ YENU, Halafu hizo gari zipigwe picha na background ya jengo.

Hq ti inatosha kutuonesha kuwa, mpo kwa ajili ya RUZUKU, LKN SIO KWA KUJIIMARISHA KIONGOZA NCHI. HAMUWEZA KUWA MNAMUANDAA MTU KUCHUKUA NCHI, HALAFU ANAYOKEA KWENYE NYUMBA YA MTU MLIYOIGEUZA KWA HQ.😁😁😁😁😁😁
 
Mlihoji sana ruzuku inakwenda wapi. Haya ni baadhi tu ya maandalizi ya uchaguzi magari 25 mapya ya kupigia kampeni

MAGARI mengine mapya 25 ya Chama kwa ajili ya maandalizi ya Kampeni za Uchaguzi Mkuu wa 2020 yamefika Dar es salaam.
Hii picha ni ya zamani. Haya magari yalitolew kama msaada mwaka 2015. Chadema haina hii jeuri,pesa zote za ruzuku alilipwa mwenyekiti kama deni.
 
Mlihoji sana ruzuku inakwenda wapi. Haya ni baadhi tu ya maandalizi ya uchaguzi magari 25 mapya ya kupigia kampeni

MAGARI mengine mapya 25 ya Chama kwa ajili ya maandalizi ya Kampeni za Uchaguzi Mkuu wa 2020 yamefika Dar es salaam.
Je haya ni maendeleo ya vitu au watu?! Je yatapita kwenye lami ,barabara ,madaraja , vivuko , fly over nk zilizojengwa kwa mujibu wa Ilani ya Uchaguzi ya CCM 2015-2020?!
 
Serikali ya CCM si ilikusanya kodi tangu 2015 na Watanzania wote tulilipa kodi.
 
Mlihoji sana ruzuku inakwenda wapi. Haya ni baadhi tu ya maandalizi ya uchaguzi magari 25 mapya ya kupigia kampeni

MAGARI mengine mapya 25 ya Chama kwa ajili ya maandalizi ya Kampeni za Uchaguzi Mkuu wa 2020 yamefika Dar es salaam.
Yametoka Bandarini bila Figisu ???[emoji15][emoji15][emoji15]
 
Ofisi ipo ktk hatua za mwisho mwisho vuta subira kidooogo utashangaa na kufurahi.
Inajengwa wapi? watu wameshindwa kujenga hata ofisi leo wanasema wataijenga nchi😵
 
Tuache ujinga ofisi siyo ya msingi?
Kuna chama kimetawala karibu miaka 60 lkn hakijawahi kujenga hata ofisi ya mita mbili kwa mbili.

Wameng'ang'ania ofisi za serikali na ni swala la muda tu watajikuta hawana ofisi kama yaliyowakuta Kanu kule Kenya. Ngoja wajidanganye tu kuwa wana ofisi.
 
Magari ni mazuri sana, moja ya nguvu muhimu sana ya ushindi wa uchaguzi wowote ni logistical support on mobility na penetration, ila pia Chadema should invested in mass media for mass mobilization and reaching out strategies za kuwafikia Watanzania walio wengi ambao hayo magari wataishia kuyaangalia tuu!. Cost ya
hiyo gari moja, inatosha kununualia transmitter za FM 10.

Cost ya gari moja inatosha kuanzisha FTA TV.
Chadema inashindana na chama chenye gazeti, TV, Redio na online Forum.
P

Kwa serikali hii, vyote hivyo vitafungiwa
 
Je haya ni maendeleo ya vitu au watu?! Je yatapita kwenye lami ,barabara ,madaraja , vivuko , fly over nk zilizojengwa kwa mujibu wa Ilani ya Uchaguzi ya CCM 2015-2020?!
Kwani ccm wakijenga barabara, madaraja, vivuko flyover nk, kwa ruzuku yao?
 
Back
Top Bottom