Mnyanyembe wa Mboka
JF-Expert Member
- Feb 10, 2017
- 2,348
- 3,038
Tutajenga ofisi tukichukua nchi ...CHADEMA na tofautiana nao kushindwa kujenga makao makuu ya chama hata ofisi ya milioni 300 ya kisasa ambayo haina BOQ
MKUU ULITAKAMlihoji sana ruzuku inakwenda wapi. Haya ni baadhi tu ya maandalizi ya uchaguzi magari 25 mapya ya kupigia kampeni
MAGARI mengine mapya 25 ya Chama kwa ajili ya maandalizi ya Kampeni za Uchaguzi Mkuu wa 2020 yamefika Dar es salaam.
Wewe kama nani uwekewe hizo kadi uone?Tuwekee na kadi za hayo magari tuond mmiliki wake ni nani, maana nasikia magari yote yana jina la Mbowe, baada ya uchaguzi anachukua magari yake.
Bila shaka mzabuni wa kuyanunua hayo magari alikuwa Mtoto wa Mbowe. Peoples!!!!!!!!Mlihoji sana ruzuku inakwenda wapi. Haya ni baadhi tu ya maandalizi ya uchaguzi magari 25 mapya ya kupigia kampeni
MAGARI mengine mapya 25 ya Chama kwa ajili ya maandalizi ya Kampeni za Uchaguzi Mkuu wa 2020 yamefika Dar es salaam.
Mlihoji sana ruzuku inakwenda wapi. Haya ni baadhi tu ya maandalizi ya uchaguzi magari 25 mapya ya kupigia kampeni
MAGARI mengine mapya 25 ya Chama kwa ajili ya maandalizi ya Kampeni za Uchaguzi Mkuu wa 2020 yamefika Dar es salaam.
Hii picha ni ya zamani. Haya magari yalitolew kama msaada mwaka 2015. Chadema haina hii jeuri,pesa zote za ruzuku alilipwa mwenyekiti kama deni.Mlihoji sana ruzuku inakwenda wapi. Haya ni baadhi tu ya maandalizi ya uchaguzi magari 25 mapya ya kupigia kampeni
MAGARI mengine mapya 25 ya Chama kwa ajili ya maandalizi ya Kampeni za Uchaguzi Mkuu wa 2020 yamefika Dar es salaam.
Je haya ni maendeleo ya vitu au watu?! Je yatapita kwenye lami ,barabara ,madaraja , vivuko , fly over nk zilizojengwa kwa mujibu wa Ilani ya Uchaguzi ya CCM 2015-2020?!Mlihoji sana ruzuku inakwenda wapi. Haya ni baadhi tu ya maandalizi ya uchaguzi magari 25 mapya ya kupigia kampeni
MAGARI mengine mapya 25 ya Chama kwa ajili ya maandalizi ya Kampeni za Uchaguzi Mkuu wa 2020 yamefika Dar es salaam.
Serikali ya CCM si ilikusanya kodi tangu 2015 na Watanzania wote tulilipa kodi.Je haya ni maendeleo ya vitu au watu?! Je yatapita kwenye lami ,barabara ,madaraja , vivuko , fly over nk zilizojengwa kwa mujibu wa Ilani ya Uchaguzi ya CCM 2015-2020?!
Yametoka Bandarini bila Figisu ???[emoji15][emoji15][emoji15]Mlihoji sana ruzuku inakwenda wapi. Haya ni baadhi tu ya maandalizi ya uchaguzi magari 25 mapya ya kupigia kampeni
MAGARI mengine mapya 25 ya Chama kwa ajili ya maandalizi ya Kampeni za Uchaguzi Mkuu wa 2020 yamefika Dar es salaam.
Inajengwa wapi? watu wameshindwa kujenga hata ofisi leo wanasema wataijenga nchi😵Ofisi ipo ktk hatua za mwisho mwisho vuta subira kidooogo utashangaa na kufurahi.
Kuna chama kimetawala karibu miaka 60 lkn hakijawahi kujenga hata ofisi ya mita mbili kwa mbili.Tuache ujinga ofisi siyo ya msingi?
Magari ni mazuri sana, moja ya nguvu muhimu sana ya ushindi wa uchaguzi wowote ni logistical support on mobility na penetration, ila pia Chadema should invested in mass media for mass mobilization and reaching out strategies za kuwafikia Watanzania walio wengi ambao hayo magari wataishia kuyaangalia tuu!. Cost ya
hiyo gari moja, inatosha kununualia transmitter za FM 10.
Cost ya gari moja inatosha kuanzisha FTA TV.
Chadema inashindana na chama chenye gazeti, TV, Redio na online Forum.
P
Sawa ila hoja ya msingi haijajibiwa! Je haya ni maendeleo ya vitu au watu?! Muyaishi munayohubiri!Serikali ya CCM si ilikusanya kodi tangu 2015 na Watanzania wote tulilipa kodi.
Chadema ni chama cha mioyo ya watz wkt ccm ni chama cha mioyo ya polisi, tumeya uchaguzi na msajili wa vyamakwani chadema inaongozwa na watu wangapi kama sio huyo mume wenu mbowe.
Kwani ccm wakijenga barabara, madaraja, vivuko flyover nk, kwa ruzuku yao?Je haya ni maendeleo ya vitu au watu?! Je yatapita kwenye lami ,barabara ,madaraja , vivuko , fly over nk zilizojengwa kwa mujibu wa Ilani ya Uchaguzi ya CCM 2015-2020?!