Uchaguzi 2020 Ruzuku ya CHADEMA yanunulia magari ya kampeni


Well & good. Tunaomba huko mbeleni badala ya kununua magari zaidi, ni vyema wakajenga ofisi kila mkoa. Nina uhakika hayo magari hayapungui 70m@, lakini 70m tunaweza kununua eneo la heka moja+ kila mkoa kwa bajeti isiyozidi 10m. Na kujenga ofisi ya 60m, ambayo mbali ya jengo, kutakuwa na eneo kubwa la wazi nyuma ambalo litaezekwa kwa bati na kutumika kama sehemu ya mikutano ya ndani. Ukishakuwa na ofisi za kudumu, ni rahisi chama kuendelea kuwa na sehemu sahihi za kukutana, hata nyakati za hujuma. Hiyo itapelekea kutokuhitaji vibali kwa ajili vya mikutano ya ndani. Na kwa hapa Dar Nina uhakika ikitengwa 500m, kuna uwezekano wa kujenga jengo la ghorofa mbili au tatu litakalokuwa ofisi za kisasa za chama.
 
laiti ungeliujua uhalisia wa mabeberu sidhani kama ungeendelea kufungua hilo kopo lako bila break, mabeberu wameunda taasisi za kimataifa ili waendelee kututawala, wameunda mfumo unaotufanya tegemezi kwao kila siku

hufikirii kwa nini saivi kuna propaganda za hovyo kuihusu tanzania? ni kwa sababu tumepunguza utegemezi wa mikopo na kutumia mikopo ya ndani kujenga miradi mikubwa hili ni pigo kwao.

usichokijua mzungu hataki ujielewe na ujitegemee ndo maana unapojaribu kujitegemea kama nchi utafanyiwa figisu kila kona.
 
Welk said na je go Hilo la ghorofa floor moja kuwa ukimbizi wa mikutano.
 
Mkuu hujui kitu, hayo magari yametokana na ufadhili wa mabeberu alafu we unaleta habari za ruzuku.
Makusanyo ya Kodi yameongezeka,lakini flyover ya ubungo,airport ya msalato, mfugale bridge ni beberu,Barabara ya njia sita ubungo Chalinze imekuwa suspended indefinitely baada ya beberu kugoma kutoa pesa.Nchi hii Kama asingekuwa beberu sijui ingekuwaje
 

Ww utakuwa ni mzee, au kijana mwenye mawazo ya kizee. Mzungu gani anayehangaika na watu walio kwenye hatua ya elimu ya kunawa mikono wakitoka chooni? Mzungu aache kuhangaika na watu wanaotengeneza mabomu ya nyuklia, ahangaike na watu wanaoshangalia rais kupewa jogoo mwenye mdondo huko maporini? Pumbavu kabisa.
 
Mpenzi wangu nilikumiss

Hizi gari ziliingia 27/7/2015 , nahapo unapo angalia picha ya hzo gari angalia na picha ya banda hilo pembeni utajua hapo niwapi.

Chadema wameanza kula ugali kwa picha ya samaki.
 
Ofisi na vitega uchumi pia.
 
kwa akili hizi ni ngumu kuujua ushenzi wa beberu, jiulize tu kwanini tangu tupunguze kuchukua mikopo nakutumia pesa za ndani mbona mabeberu yanang'aka sana? wale hawataki mwafrika ajitawale ndo maana wameunda mifumo kandamizi itakayotufanya kua duni daima.
 
Nadhani jambo ambalo chadema imekosea 2015-2020 ni uwekezaji mdogo.

Kwa sababu
1. Walikua na wabunge wengi
2. Walikua na wanachama wengi
3. Walikua na ruzuku kubwa


Ujenzi wa chama ni muhimu sana kuliko ofisi na vitega uchumi japo inabidi wabalance.

Tusilinganishe na ccm ambayo ofisi nyingi zilijengwa kwa fedha ya walipa kodi na 1992 wakapora kama mali zao.

Ofisi na vitega uchumi pia.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…